KUNA WATU WANAFANYA BIASHARA ZENYE MARGIN NDOGO
Mfano jojo za kenya BIG BOSS zinauzwa 35,000, sokoni Tanzania zinauzwa 36,000 faida ni 1000 kwa kila carton.
Kwa hio 100m means utapata wastan wa 2,900 cartons per year
2,900 ctns × 1,000 faida =2,900,000 G.profit
100,000,000 × 3.5% = 3,500,000 KODI TRA
Mwisho wa siku unapata negative ya 600,000 bado garama zingine WHY watu wasikwepe kodi.
Ifike hatua serikali ipigie kodi faida na sio mauzo.Mfano kwenye
2,900,000 × 3.5% = 101,500 Kodi ya TRA mbona watumishi wanakatwa kodi kwenye mishahara(FAIDA) kwanin wafanyabiashara wakatwe kodi kwenye mauzo ?