labda swali kidogo la kujiuliza maana nimeona kijarida humu mtu ( smart mind) katupia la viwango vya kodi. Kama unauza sana maana yake na kodi yako silazima iwe juu mkuu? au ulitaka uwe sawa na mama zentu ntilie? Kila mtu hataki lipa kodi nani alipe wafanyakazi peke yetu? Mashine sijaona ubaya kama natozwa kulingana na mauzo yangu maana ingekuwa nazidishiwa zaidi ya nilichoingiza hapo sawaMimi kwangu kutoa risiti kumefanya nikadiriwe kodi kubwa lait kama mauzo yangu kwenye mashine yangekuwa chini na kodi ingekuwa chini vilevile
KUNA WATU WANAFANYA BIASHARA ZENYE MARGIN NDOGOlabda swali kidogo la kujiuliza maana nimeona kijarida humu mtu ( smart mind) katupia la viwango vya kodi. Kama unauza sana maana yake na kodi yako silazima iwe juu mkuu? au ulitaka uwe sawa na mama zentu ntilie? Kila mtu hataki lipa kodi nani alipe wafanyakazi peke yetu? Mashine sijaona ubaya kama natozwa kulingana na mauzo yangu maana ingekuwa nazidishiwa zaidi ya nilichoingiza
Naomba tusaidiane na nipo tayari kukosolewa maana tunajifunza sote. Naochojua ukiwa na mauzo chini ya milioni 4 hakuna kodi unayokatwa hapo ni tax free. ila kwa mtu ambaye yanazidi mauzo wa mwaka milioni 4 ndiyo anatozwa kodi ama ifuatavyoKUNA WATU WANAFANYA BIASHARA ZENYE MARGIN NDOGO
Mfano jojo za kenya BIG BOSS zinauzwa 35,000, sokoni Tanzania zinauzwa 36,000 faida ni 1000 kwa kila carton.
Kwa hio 100m means utapata wastan wa 2,900 cartons per year
2,900 ctns × 1,000 faida =2,900,000 G.profit
100,000,000 × 3.5% = 3,500,000 KODI TRA
Mwisho wa siku unapata negative ya 600,000 bado garama zingine WHY watu wasikwepe kodi.
Ifike hatua serikali ipigie kodi faida na sio mauzo.Mfano kwenye
2,900,000 × 3.5% = 101,500 Kodi ya TRA mbona watumishi wanakatwa kodi kwenye mishahara(FAIDA) kwanin wafanyabiashara wakatwe kodi kwenye mauzo ?
mashine kama kwamba ni mradi wa mabeberu.Cha kufanya n kurudisha mashine na kutafuta mbadala wa mashine nyingne usajili kwa mashin mengine
unavyofahamu hiyo kutunza kumbukumbu ina maana gani.Naomba tusaidiane na nipo tayari kukosolewa maana tunajifunza sote. Naochojua ukiwa na mauzo chini ya milioni 4 hakuna kodi unayokatwa hapo ni tax free. ila kwa mtu ambaye yanazidi mauzo wa mwaka milioni 4 ndiyo anatozwa kodi ama ifuatavyo
asiyetunza kumbukumbu mauzo yakizidi 4m mpaka 7m analipa 100,000 kwa mwaka na kama anatunza kumbukumbu maana yake kinachozidi 4m kinatozwa 3% kwa mfano umepata 5m utachukua 5 utatoa 4 unapata 1m inatozwa 3%.
Hivo hivo anayezidi 7m mpaka 11m kama nao hawatunzi kumbukumbu ni 250,000 na kama anatunza basi naye kinachozidi 7m atalipa 3% na kuongeza 90,000. mfano 8m maana yake atachukua 8m toa 7m atapata 1m atajumlisha 90,000.. kwa wale yanayozidi 11m yeye kwa kuwa anamashine ya efd atatozwa kinachozidi 11m kwa 3%
Huo ndo muongozo ungeliomba tax table uwe nayo home uwe unasoma miongozo yak...walichokwambia nikweli 3.5% ndio kikokotoo Cha Kodi kwa mauzo ya mwaka mzimaNilibishana nao sana kuhusu kodi hadi walinipa muongozo, kwamba mauzo yangu ya mwaka nizidishe kwa 3.5%View attachment 2941788
Yaan hapo kutunza kumbukimbu maana yake unatakiwa uandae hesabu utozwe Kodi kulingana na faida unayoipata..maana yake kumbukumbu hizo ni matumizi receipt zake unazo,kushusha na kupakia mzigo,transport charge,mishahara,umeme na maji,Kodi mbalimbali zakimamlaka ulizolipa mfano leseni,tfsa,OSHA,nnsf,sdl,service levy,motor vehicle fuel,unavyofahamu hiyo kutunza kumbukumbu ina maana gani.
Kuna baadhi ya kumbukumbu ukiziweka wazi ni kuwa unajishitaki na utaumizwa zaidi.Yaan hapo kutunza kumbukimbu maana yake unatakiwa uandae hesabu utozwe Kodi kulingana na faida unayoipata..maana yake kumbukumbu hizo ni matumizi receipt zake unazo,kushusha na kupakia mzigo,transport charge,mishahara,umeme na maji,Kodi mbalimbali zakimamlaka ulizolipa mfano leseni,tfsa,OSHA,nnsf,sdl,service levy,motor vehicle fuel,
Sio kweli. Kutunza kumbukumbu sio kujishtaki. Sana sana utawabana TRAKuna baadhi ya kumbukumbu ukiziweka wazi ni kuwa unajishitaki na utaumizwa zaidi.
Wao TRA wanalijua hilo ndio maana wakija kukukagua wanatanguliza vitisho kadhaa.
Hayo yote nakwambia ni matokeo ya vikokotooo ambavyo haviendani na ukweli wa biashara.
hujajibu suali au hujaona mantiki iliyotolewa mfano.Kwamba tatizo ni kile kinachotoleshwa kodi sio sahihi.Wanaangalia mauzo badala ya faida.Naomba tusaidiane na nipo tayari kukosolewa maana tunajifunza sote. Naochojua ukiwa na mauzo chini ya milioni 4 hakuna kodi unayokatwa hapo ni tax free. ila kwa mtu ambaye yanazidi mauzo wa mwaka milioni 4 ndiyo anatozwa kodi ama ifuatavyo
asiyetunza kumbukumbu mauzo yakizidi 4m mpaka 7m analipa 100,000 kwa mwaka na kama anatunza kumbukumbu maana yake kinachozidi 4m kinatozwa 3% kwa mfano umepata 5m utachukua 5 utatoa 4 unapata 1m inatozwa 3%.
Hivo hivo anayezidi 7m mpaka 11m kama nao hawatunzi kumbukumbu ni 250,000 na kama anatunza basi naye kinachozidi 7m atalipa 3% na kuongeza 90,000. mfano 8m maana yake atachukua 8m toa 7m atapata 1m atajumlisha 90,000.. kwa wale yanayozidi 11m yeye kwa kuwa anamashine ya efd atatozwa kinachozidi 11m kwa 3%
hujajibu suali au hujaona mantiki iliyotolewa mfano.Kwamba tatizo ni kile kinachotoleshwa kodi sio sahihi.Wanaangalia mauzo badala ya faida.Naomba tusaidiane na nipo tayari kukosolewa maana tunajifunza sote. Naochojua ukiwa na mauzo chini ya milioni 4 hakuna kodi unayokatwa hapo ni tax free. ila kwa mtu ambaye yanazidi mauzo wa mwaka milioni 4 ndiyo anatozwa kodi ama ifuatavyo
asiyetunza kumbukumbu mauzo yakizidi 4m mpaka 7m analipa 100,000 kwa mwaka na kama anatunza kumbukumbu maana yake kinachozidi 4m kinatozwa 3% kwa mfano umepata 5m utachukua 5 utatoa 4 unapata 1m inatozwa 3%.
Hivo hivo anayezidi 7m mpaka 11m kama nao hawatunzi kumbukumbu ni 250,000 na kama anatunza basi naye kinachozidi 7m atalipa 3% na kuongeza 90,000. mfano 8m maana yake atachukua 8m toa 7m atapata 1m atajumlisha 90,000.. kwa wale yanayozidi 11m yeye kwa kuwa anamashine ya efd atatozwa kinachozidi 11m kwa 3%
Umeshajaribu kufile taarifa za mapato na matumizi ya biashara yako ili waone uhalisia wa yanayojiri kwenye hesabu zako?Upo sahihi nimekoma mimi kuandika risiti ovyo mwaka jana yalinikuta faida ya soda takeaway jumla ni sh 400 ukiandika risiti katoni kumi faida 4000, ukiuza soda elf 1 kwa mwezi faida ni laki 4 na ukitoa gharama zingine ushushaji kudelivery kwa wateja faida inapungua
Mfano kwa mwezi ukauza katon elf 1 au 900 na ukatoa risit halali zenye thaman ya million kumi ukazidisha kwa mwaka miezi 12 utapata mauzo ya million 120, kodi utakayokutana nayo TRA utajuta unaweza ambiwa hata ulipe million 3 kwa mwaka, wakati faida uliyobakiwa nayo baada ya uendeshaji wa biashara ni million 3 na laki 6 ukilipa TRA unajikuta kwa mwaka umeingiza laki 6
Sijawah wapelekea hesabu za mapato na matumizi uenda natakiwa kutafuta muhasibu atakae simamia hesabu japo nishawahi kuwaelekeza tra namna biashara inavoenda na faida inayopatikana, wakanambia ni kweli kodi haikupaswa kukadiliwa kwenye mauzo ila ilitakiwa ikadiliwe kwenye faida lakini hawana namna wanafata sheria ya kodi kama inavosemaUmeshajaribu kufile taarifa za mapato na matumizi ya biashara yako ili waone uhalisia wa yanayojiri kwenye hesabu zako?
Maana kiukweli huwezi wapa mgao kwa kitu ambacho haujapata wapa wao hawakuchangia hata mia so haimake sense mzee.
Hapo biashara haitafungwa na hamna kuwapa hela. Wape vitabu vya mhasibu wajionee hali halisi ya biashara.
Watengenezee vitabu halafu fanya mpango uwe na EFD hawatakusumbua tena na utawalipa unachomudu.Sijawah wapelekea hesabu za mapato na matumizi uenda natakiwa kutafuta muhasibu atakae simamia hesabu japo nishawahi kuwaelekeza tra namna biashara inavoenda na faida inayopatikana, wakanambia ni kweli kodi haikupaswa kukadiliwa kwenye mauzo ila ilitakiwa ikadiliwe kwenye faida lakini hawana namna wanafata sheria ya kodi kama inavosema
Efd mashine ninayo ndo inayotumika kukadiliwa kodiWatengenezee vitabu halafu fanya mpango uwe na EFD hawatakusumbua tena na utawalipa unachomudu.