TRA imetangaza wafanyabiashara wanaofanyia mtandaoni kujisajili biashara zao? Huu ni uonevu

Bolotoba

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2024
Posts
4,545
Reaction score
10,426
Sasa najiuliza maswali haya

1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena?

2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini?

3.Naponunua bando bado wanakata kodi

4.Vijana hatuna kazi tumeamua kuwinga biashara mtandaoni hatuna uwezo kulipa frames howe come kodi?

Soma Pia: TRA Yawataka Wafanyabiashara wa Mitandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi Mmoja

Binafsi
Naunga Mkono #

No Reform no Election#
 
Wenye maduka ndiyo wenye website za kuonyesha bidhaa zao mitandaoni, shouldn't do this!
Waachane na hili,limeshika wanyonge wasio na lolote zaidi madalali tu.
Kijana wa watu anakwenda dukani kariakoo,anapita dukani anaona kikombe kinauzwa 1500/-,anaomba akipige picha anaruhusiwa,anakirusha anakiuza 2000/-ili apate 500 yake, infact,hata china hawafanyi hivi kabisa,zipo gap huachwa na serekali makusudi kusaidia,dhufulihali,mtu hana mtaji wa biashara,lakini kwa njia ya mtandao akiwa na 20000/-,anaweza kuambulia cha mboga,na 20000/-yake akabaki nayo kwa kesho yake!
N.b,Maprado mapya yamezidi mitaani,gap inazidi kuwa kubwa kwelikweli.
 
Sasa najiuliza maswali haya

1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena?

2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini?

3.Naponunua bando bado wanakata kodi

4.Vijana hatuna kazi tumeamua kuwinga biashara mtandaoni hatuna uwezo kulipa frames howe come kodi?

Soma Pia: TRA Yawataka Wafanyabiashara wa Mitandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi Mmoja

Binafsi
Naunga Mkono #

No Reform no Election#
MTaelewa tu maana ya NRNE.
 
Mtoa mada inaonekana unaulewa mdogo sana kwenye mambo ya kodi....
1. Mwenye maduka tayari wanaexception.

2. Kodi ya Matangazo ads iyo ni kodi yawewe kununua huduma ya kutangaziwa (social media) haihusiani na kodi ya bidhaa utakayoiuza.

3. Wewe jamaa unachekesha kwa kweli sasa bando au basi
 
Mnapinga vitu vya KIJINGA sana
Wacenge kama wewe mna mchango mdogo sana kwa taifa.

Nchi imekufanyia nini cha maana ukiacha kuruhusiwa kuishi hapo mtoni mtongani? Hii nchi kila kitu raia anajigharamia toka anazaliwa mpaka anakufa. Hakuna incentives zozote kama ilivyo kwa mataifa mengine na bado kodi zinakusanywa kibabe 😁...

Wonders shall never end hakika...
 
Watengeneze mazingira wezeshi watu walipe Kodi,Hii mambo ya kuviziana siyo kabisaaa
 
Tatizo la nchi hii sio ulipaji wa Kodi Bali namna hizo Kodi zinavyotumika baada ya kukusanywa
 
Wacenge kama wewe mna mchango mdogo sana kwa taifa.

Nchi imekufanyia nini cha maana ukiacha kuruhusiwa kuishi hapo mtoni mtongani? Hii nchi kila kitu raia anajigharamia toka anazaliwa mpaka anakufa. Hakuna incentives zozote kama ilivyo kwa mataifa mengine na bado kodi zinakusanywa kibabe 😁...

Wonders shall never end hakika...
Mungu anasema utakula kwa jasho lako
 
Hapo TRA hawana shida tatizo ni wabunge wenu wanao tunga izo sheria , TRA ni msimamizi wa sheria tu
 
Back
Top Bottom