Wenye maduka ndiyo wenye website za kuonyesha bidhaa zao mitandaoni, shouldn't do this!Sasa najiuliza maswali haya
1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena?
2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini?
3.Naponunua bando bado wanakata kodi
4.Vijana hatuna kazi tumeamua kuwinga biashara mtandaoni hatuna uwezo kulipa frames howe come kodi?
Soma Pia: TRA Yawataka Wafanyabiashara wa Mitandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi Mmoja
Binafsi
Naunga Mkono #
No Reform no Election#
kodi ni muhimuSasa najiuliza maswali haya
1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena?
2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini?
3.Naponunua bando bado wanakata kodi
4.Vijana hatuna kazi tumeamua kuwinga biashara mtandaoni hatuna uwezo kulipa frames howe come kodi?
Soma Pia: TRA Yawataka Wafanyabiashara wa Mitandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi Mmoja
Binafsi
Naunga Mkono #
No Reform no Election#
MTaelewa tu maana ya NRNE.Sasa najiuliza maswali haya
1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena?
2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini?
3.Naponunua bando bado wanakata kodi
4.Vijana hatuna kazi tumeamua kuwinga biashara mtandaoni hatuna uwezo kulipa frames howe come kodi?
Soma Pia: TRA Yawataka Wafanyabiashara wa Mitandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi Mmoja
Binafsi
Naunga Mkono #
No Reform no Election#
Wewe ni mataqoMnapinga vitu vya KIJINGA sana
Ya mama yakoWewe ni mataqo
Mtoa mada inaonekana unaulewa mdogo sana kwenye mambo ya kodi....Sasa najiuliza maswali haya
1.inamaana mtu kama una duka lako na umelipa TRA ukafungua akaunti mtandaoni unalipia ya nini tena?
2.Kwenye zile ads/matangazo zile VAT niza nini?
3.Naponunua bando bado wanakata kodi
4.Vijana hatuna kazi tumeamua kuwinga biashara mtandaoni hatuna uwezo kulipa frames howe come kodi?
Soma Pia: TRA Yawataka Wafanyabiashara wa Mitandaoni Kujisajili Ndani ya Mwezi Mmoja
Binafsi
Naunga Mkono #
No Reform no Election#
Wacenge kama wewe mna mchango mdogo sana kwa taifa.Mnapinga vitu vya KIJINGA sana
Sio kila jambo ni NRNE,wala msitumie ujinga wa slogan yenu,katika kutafuta ku -win ujinga wenu.MTaelewa tu maana ya NRNE.
Huviziwi ni wewe hu-seek informationWatengeneze mazingira wezeshi watu walipe Kodi,Hii mambo ya kuviziana siyo kabisaaa
Mungu anasema utakula kwa jasho lakoWacenge kama wewe mna mchango mdogo sana kwa taifa.
Nchi imekufanyia nini cha maana ukiacha kuruhusiwa kuishi hapo mtoni mtongani? Hii nchi kila kitu raia anajigharamia toka anazaliwa mpaka anakufa. Hakuna incentives zozote kama ilivyo kwa mataifa mengine na bado kodi zinakusanywa kibabe 😁...
Wonders shall never end hakika...
Itafahamika mbele kwa mbeleSio kila jambo ni NRNE,wala msitumie ujinga wa slogan yenu,katika kutafuta ku -win ujinga wenu.