Mzalendo07
Member
- Feb 24, 2014
- 71
- 120
Kariakoo ni kituko sehemu kama ile ningefikiria ndiyo iwe focal point ya ukusanyaji wa mapato lakini nenda duka lolote kariakoo ukanunue kitu alafu omba risiti uwone.
Kwanza wana kali moja hiyo, wanakuambia bila risiti bei inapungua, mbili, ukiwa unachukua mzigo mkubwa unapeleka mbali wanakupa risiti feki ya kusafirisha mzigo ikitokea ukakamatwa njiani.
Lumumba ndio mwisho wa matatizo ukinunua kitu ukaitaji risiti wako tiari wasikuuzie na wanakuambia bei wanayokuuzia ni ya wamachinga.
Sasa shida iko wapi?
1. Inamaanisha wakikupa risiti BEI ya bidhaa itakuwa juu na wanakuonea huruma ama wao wenyewe wanaona hawatauza.
2. TRA personnel wanaenda kuchukua chao baadae ili jamaa walipe kodi ndogo.
3. Kodi wanayotozwa ni kubwa ndio maana wanaikwepa.