TRA Tanzania
Senior Member
- Jul 16, 2022
- 128
- 370
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi wananidai 19mil eti niwe nalipa kila mwezi 1.6 wakati mshahara haufiki hata 500kNawasihi raia muendelee na zoezi la kukacha michango ya kodi tu maana hazijawahi kuleta tija yeyote zaidi ya maumivu tu kwa matumizi ya hovyo kama kununulia midoli ya kusalimia watu bungeni. Nchi haina huduma stable miaka 60 afya hovyo, elimu hovyo, uchukuzi hovyo yani kero tu.
Wanagongwa hao 😁 ni kuwakacha tu, file bankruptcy.Mi wananidai 19mil eti niwe nalipa kila mwezi 1.6 wakati mshahara haufiki hata 500k
mzee kwani wamesema wanakudai kodi ya paye? biashara yako je umetizama vizuri maana kuna kodi ya ajira na kodi katika biashara hebu chungulia hapoMi wananidai 19mil eti niwe nalipa kila mwezi 1.6 wakati mshahara haufiki hata 500k
Namna mnatumia kodi zetu, wehuuu!
Asante sana kwa swali zuri. Ndiyo TIN utaendelea kuitumia hiyo hiyo ila unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye tovuti ya TRA ( TRAPORTAL) ili ubadili taarifa zako na baadaye utakuja TRA ili ukadiriwe.Mashine itabidi umtafute wakala ili aifanyie maboresho kwani kuna maboresho yalifanyika.TRA Tanzania nilikuwa ninafanya Biashara lakini kutokana na changamoto za kibiashara nilifunga biashara tangu 2018 sasa nataka kuanza upya Biashara nyingine. nauliza naweza Kutumia TIN number ile ile? maana nilihama tayari na mtaa niliokuwa nafanya baishara. Nilikuwa pia na mashine ya EFD je ni utaratibu gani mzuri wa Kufuata au nifanye nini? je nikitumia TIN ile ile haitaleta shida?
Ile machine nitaweza kuitumia tena maana nataka kuanz abiashara tofauti na ya awali? Je EFD ile ile ya 2018 naweza kuitumia sasa?
Kipindi ambacho sijafanya biashara na sikutoa taarifa adhari zake ni zipi?
ASANTEAsante sana kwa swali zuri. Ndiyo TIN utaendelea kuitumia hiyo hiyo ila unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye tovuti ya TRA ( TRAPORTAL) ili ubadili taarifa zako na baadaye utakuja TRA ili ukadiriwe.Mashine itabidi umtafute wakala ili aifanyie maboresho kwani kuna maboresho yalifanyika.
Nimeingia kwenye portal sion hiyo Option ya Kubadili taarifa. naomba maelkezo zaidiAsante sana kwa swali zuri. Ndiyo TIN utaendelea kuitumia hiyo hiyo ila unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye tovuti ya TRA ( TRAPORTAL) ili ubadili taarifa zako na baadaye utakuja TRA ili ukadiriwe.Mashine itabidi umtafute wakala ili aifanyie maboresho kwani kuna maboresho yalifanyika.