realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
TRA tunaomba warekebishe Changamoto iliyopo kwenye Innovation portal Yao kwani imekuwa ikisumbua kuingia ni muda Sasa.
Kama kweli wanahitaji mawazo Bunifu inabidi wawe na njia hata tatu za kupokea maoni iwapo Moja itakuwa inasumbua. Nina Imani ni wasikivu na watafafanya.
Sehemu kubwa inayosumbua ni sehemu ya kuregister na kureset password.
Wenu mtiifu.