TRA iweke njia mbadala zaidi kujua matokeo ya kuitwa kazini, isiwe email peke yake

TRA iweke njia mbadala zaidi kujua matokeo ya kuitwa kazini, isiwe email peke yake

Chisundi

New Member
Joined
Jul 12, 2026
Posts
1
Reaction score
0
TRA tunaomba watusaidie njia mbadala zaidi isiwe email peke yake kwenye kujua matokeo ya kuitwa kazini kwasababu tupo ambao tumepoteza simu na kushindwa kurejesha barua pepe zetu.
 
Back
Top Bottom