Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
HILO HUTAKIWI KUULIZA TENA MKUU KWA GARI YOYOTE AMBAYO MPAKA SASA HAIJAFANYA CLEARENCE LEO TAREHE 18/12/2025 Hiyo kodi inahusikaKwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa.
Moja ya kodi inasomekama ni kwa ajili ya dawa za kufubuza virus vya Ukimwi yaana HIV.
Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
TRA yeye Kwa mujibu ws Sheria ni Mkusanya Kodi zilizowekwa Kwa Mujibu wa Sheria ambazo zinatungwa na kina Babu Tale & Msukuma!Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa.
Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000.
Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
Trump anapiga mbele anapiga nyuma mpaka muelewe... WHO ARE YOU?Wagonjwa ukimwi watarajiwa hawataki Kodi ya ukimwi
Na umetoka kufanya ngono zembeTrump anapiga mbele anapiga nyuma mpaka muelewe...
HallucinationsPhase I ilikuwa kuwachosha wananchi kwa uongozi wa hovyo (hilo tayari).
Phase II ni kuwachosha vyombo vya ulinzi kwa wengi wao, watasema tu jamani hee kweli libomoke kwa tamaa zetu.
Simuoni Samia akimaliza muhula wa pili, trust the worst is not to come. Like I have always said huyo mama hataiharibu hiyo nchi aijawahi tokea.
What this space, akili zao zitakaa sawa tu siku moja.
Una JI exclude eeee..Kila binadamu ni MGONJWA TARAJARI....Wagonjwa ukimwi watarajiwa hawataki Kodi ya ukimwi
Una uhakika sina ukimwiUna JI exclude eeee..Kila binadamu ni MGONJWA TARAJARI....
Na mama yako mzazi ndio alivyokusimulia kwamba nimetoka kumbandua bila Condom?Na umetoka kufanya ngono zembe
Nchi ya hovyo kulipa Kodi?..hutegemei kupata ukimwi,dozi ya 60k kwa mwezi watz wanaiweza?Hii kodi ipo toka mwaka jana kwenye sekta ya madini. Wadau walipiga kelele ila serikali yenu sikivu haikusikia kitu sasa wanatanua wigo. Nchi ya hovyo sana hii.
Salamaleko 😁Una uhakika sina ukimwi