King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
PEPFAR USA wamegoma kulipia gharama ,inabidi TZ ilipie yenyewe.Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa.
Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000.
Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
Yaani wewe Mwalimu shida sana. Kwanini hujaenda kwenye website ya TRA ili uulize huko na watakujibu? Kama wewe ndio unafundisha watoto wetu basi ni shida kubwa!!Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa.
Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000.
Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
@tratanzaniaKwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa.
Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000.
Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
Kwann ukate kodi kwa ambao si wagonjwa?Wagonjwa ukimwi watarajiwa hawataki Kodi ya ukimwi
Kuna watu maalum watakua wagonjwa?Kwann ukate kodi kwa ambao si wagonjwa?
Kuna mambo yanafanyika nchi hii unajiuliza how is this even possible? Gov inaamka na kuamua lake, no utaratibu, no kujadiliKwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa.
Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000.
Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?
Kabla hata ya mo29 ukiagiza gari ulikuwa unakatwa kodi ya HIVTrump anapiga mbele anapiga nyuma mpaka muelewe... WHO ARE YOU?
Piga ban wale wasiingie huku
WHO ARE YOU?
Chukua hela zote za misaada usiwape hata mia ya mkopo.. umuone Kombo anavyotembeza makombo
Nchi ya hovyo kulipa Kodi?..hutegemei kupata ukimwi,dozi ya 60k kwa mwezi watz wanaiweza?
Wajadili na nani?Kuna mambo yanafanyika nchi hii unajiuliza how is this even possible? Gov inaamka na kuamua lake, no utaratibu, no kujadili
Hio najua kitambo tu tangu wamekaa kikao cha Halmashauri Kuu na kuambiwa adui unaemmudu usimuachie Mungu malizana nae hapahapa duniani mahesabu mbinguni... Trump akabinya kitufe cha Ukimwi USAIDKabla hata ya mo29 ukiagiza gari ulikuwa unakatwa kodi ya HIV
Hujasikia matibabu bure ya hayo magonjwa yataanza?..hapa nipo kijijini idobola nshindo na dawa za presha zahanati ya serikali ni buku tano tuLini wataweka kodi ya Kisukari, presha, saratani na magonjwa mengine au ugonjwa ni ukimwi tu?
Kwanini wasifanye kila mwananchi awe na bima ya afya instead of kulipisha watu kodi wasiohusika?
Kwanini hizi kodi zinaanzishwa kwa usiri bila kushirikisha wadau? Unashtuka tu unalipia kodi ya ukimwi bila kujua imeanza lini wala maelezo yoyote? Nchi inaendeshwa kizwazwa sana.
Tatizo la nyumbu huwa hawasomi vitu vya maana. Hakusoma Budget ya 2025/2026 wanabaki kusoma udaku tu.Kuna maswali mnauliza yanakosa maana.
Hii haina haja ya kuuliza TRA sababu wakati inapitishwa haikua Siri, huwa mnachosha pale mnapokuja kuuliza wakati wa utekelezaji
Wote wanaoagiza magari walishaanza kuilipa toka mwaka huu wa bajeti
WABUNG WETU AKINA BABA LEVO WA WENZAKE WAMECHELEWA SANA KUWEKA HII KODI, ZIJE TUPO TAYARI.Kwenye mitandao, kuna document inayodaiwa ni ya TRA inayoonyesha mlolongo wa kodi kwa mtu anaeagiza gari nchini kwa sasa.
Tozo hiyo inasomeka kama "HIV Response Levy " ambayo ni kiasi cha shilingi 100,000.
Swali: TRA, hiii ni kweli na hiyo document imetoka kwenu?