TRA Kahama Wababaishaji sana

TRA Kahama Wababaishaji sana

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,602
Reaction score
5,809
Habari za leo wanaJukwaa.

Leo nimeenda tangu saa 2 Asubuhi Ofisi yaTRA Kahama kwaajili ya Makadirio ya Mapato. Hadi sasa saa 7 sijapata huduma yoyote.

Wafanyakazi wa TRA wanapita pita tu bila msaada wa aina yoyote.

Kwa namna hii ndio maana tunahamasika kukwepa kodi.

TRA.
 
Nshawahi kufika pale,kuna wafanyakazi pale ni Miungu watu,wananata sana utazani TRA ni mali yao,na mbaya zaidi hawahamishwi
 
Habari za leo wanaJukwaa.

Leo nimeenda tangu saa 2 Asubuhi Ofisi yaTRA Kahama kwaajili ya Makadirio ya Mapato. Hadi sasa saa 7 sijapata huduma yoyote.

Wafanyakazi wa TRA wanapita pita tu bila msaada wa aina yoyote.

Kwa namna hii ndio maana tunahamasika kukwepa kodi.

TRA.
Juzii walikuwa Wana operation ya kufunga hovyooo vibanda
 
TRA Singida wao ni kutishia watu kuwafunga na kufunga account za watu na kukomba kilichomo.. ni jipu TRA
 
Kuna tatizo Tanzania. Mfanyakazi analipwa mshahara ila anajivuta vuta kutoa huduma. Lakini mfanyakazi huyo yupo fasta kushugulikia jambo ambalo anaona lina manufaa kwake kwa muda huo, anasahau yupo pale na analipwa mshahara.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom