TRA kawafundisheni wateja wenu namna ya kutumia mashine za efd kutoa risiti

TRA kawafundisheni wateja wenu namna ya kutumia mashine za efd kutoa risiti

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,478
Reaction score
3,659
Wakuu kwema?
Hiki kipengele kinasumbua sana. Yani unahitaji risiti ambayo ina tin halafu muuzaji anakwambia mashine haina option ya tin. Hapo ili tu asisumbuke kwa kuwa hajui hiyo hatua.

Pia mashine zenyewe ziko aina tofauti kiasi kwamba procedure za kutoa risiti zinatofautiana.
Sasa muuzaji anaongopa kabisa eti mashine haitoi tin. Halafu tra haohao wanakomaa risiti ziwe na taarifa zote muhimu. Tra fanyeni kazi yenu
 
Back
Top Bottom