"Winga ambaye anafanya biashara ya mtu mwingine na anapata kipato, kipato kile lazima kilipiwe kodi kama kimezidi milioni 4. Kama hakizidi hatuna shida naye." - Richard Kayombo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Elimu kwa Mlipa Kodi TRA
Mkuu, Mfanyakazi wa duka ni either muajiriwa au kibarua, zote mbili zina formalities zake kikodi. Ni suala la muda kila mtu anayestahili kulipa kodi atalipa kodi.
Katika Taifa lenye Kila kitu ambayo mataifa mengi hayana wanashindwa kuweka Kodi kwenye mali za asili zinazoenda nje Ili kumuwekea uafadhali mwananchi wa ndani.
Kazi ya serikali ni kumuwezesha mwananchi wake mambo yawe marahisi nasio kumbebesha rundo la Kodi Ili Hali Kuna vyanzo vingine vikubwa VYA mapato mfano.