Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Wafanyabiashara wadogo ambao wanapanga kwenye nyumba za mitaani hutozwa Withholding Tax yaani kodi ya zuio! Hapa anayezuiwa ni nani! Hakuna jibu isipokuwa imetengenezwa kuiongezea mapato serikali ambayo hayana haki.
Mimi mpangaji natozwa kodi ya jengo kisa ni mpangaji japo mwenye nyumba yupo naye analipia jengo hilohilo! Huu ni unyang'anyi kwa mpangaji. TRA inamjua mwenyenyumba ila inajidai kufumba macho eti haonekani, huu ni wizi wa kibabe.
Ni wakati sasa serikali iiondoe sheria inayohusu "Withholding Tax" yaani Kodi ya Zuio.