Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Nyumba zinalipiwa kodi ya jengo kupitia bili ya umeme.Tunalipia tozo ya upangaji🤣🤣😂
Sema kumpata kijana TRA hana afya kama sisi wapangaji umtafute kwa tochi.
Nadhani anazungumzia kodi ya mapato ya kupangisha nyumba.Nyumba zinalipiwa kodi ya jengo kupitia bili ya umeme.
Hapana, soma vizuri usidhani. Kodi ninayozongumzia ni ile ambayo mpangaji anamlipia mwenye nyumba huku akishauriwa mwisho wa mwaka adai marejesho kutoka kwa mwenye nyumba! Je, hili linawezekana? Ninawezaje kumdai naye anirejeshee, hii ndiyo dhuluma ninayoisema.Nadhani anazungumzia kodi ya mapato ya kupangisha nyumba.
Swali ni kwanini mpangaji amlipie mwenye nyumba huku mpangaji akikabiliwa na kodi za jiji na za TRA, mwenyenyumba yupo kwanini asilipe yeye, mbona mimi nalipa kodi ya nyumba yangu.Hesabu hapa ni simple kabisa,kila mita inalipia 1500/- kwa mwezi,basi mara 12(miezi) = 18,000/-
Hivyo basi simply tu, mwenye nyumba atapaswa kumrejeshea mpangaji wake 18,000/- kwa mwaka mmoja,its over!..(in silence way)....
Mimi ninalipa kodi ya nyumba yangu, sasa kwanini nilazimishwe kumlipia kodi mwenyenyumba mwingine, TRA inamuogopa nini? Kurogwa?Serekali bado inaweza kujipatia kodi mbali mbali bila usumbufu kwa kutumia mita za umeme,(kabia pale penye hitaji muhimu)
Nimelia muda mrefu mpka nimechoka, na sikufanikiwa, ukimwambia mwenye nyumba unakula notes, kwa hiyo mzigo wako weweSwali ni kwanini mpangaji amlipie mwenye nyumba huku mpangaji akikabiliwa na kodi za jiji na za TRA, mwenyenyumba yupo kwanini asilipe yeye, mbona mimi nalipa kodi ya nyumba yangu.
Mueleweshe mwenye nyumba wako!Nimelia muda mrefu mpka nimechoka, na sikufanikiwa, ukimwambia mwenye nyumba unakula notes, kwa hiyo mzigo wako wewe
Kodi hii si ya vyumba vya kulala ni "Withholding Tax yaani kodi ya "Zuio", kodi hii unalipa TRA zaidi ya laki kiuonevu tu kwa sababu sheria wamezitunga wanaotupangisha ili tuwatue mzigo.Mueleweshe mwenye nyumba wako!
Binafsi nina vyumba viwili vyenye mita moja,huwa narudisha kwa wapangaji 18000 kwa mwaka.