Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
Miaka ya zamani kidogo ulikuwa ukiomba leseni ya udereva haichukui muda mrefu unapewa leseni yako.
Lakini siku hizi kumekuwa na changamoto kidogo hususani kwenye muda wa kuomba leseni mpaka kuja kuipata, watu wanakaa miezi hadi mwaka hawajapata leseni zao za udereva.
Shida inakuwa ni nini? Je ni vifaa vichache vya kutengenezea kadi za leseni? Au wenye ujuzi ni wachache? Au raw materials (Mali ghafi) ni chache?
Hii issue pia hipo kwenye vitambulisho vya NIDA
Richa ya kwamba hizi Idara za serikali Zina mfumo wa kizembe,ila nilifanya mchakato wa kupata leseni jiji la Dar,niliipata ndani ya wiki mbili tu,Tena na sms unatumiwa kwamba ipo tayariMiaka ya zamani kidogo ulikuwa ukiomba leseni ya udereva haichukui muda mrefu unapewa leseni yako.
Lakini siku hizi kumekuwa na changamoto kidogo hususani kwenye muda wa kuomba leseni mpaka kuja kuipata, watu wanakaa miezi hadi mwaka hawajapata leseni zao za udereva.
Shida inakuwa ni nini? Je ni vifaa vichache vya kutengenezea kadi za leseni? Au wenye ujuzi ni wachache? Au raw materials (Mali ghafi) ni chache?
Hii issue pia hipo kwenye vitambulisho vya NIDA
Yule mama niliyemkuta TRA hakuwa kama mtu wa upigaji... Kwanza hata alipokaa ni rahisi kuonekana ukijaribu kufanya mambo ya rushwa nahisi wanaokaa Mwanza wanamfahamu huyo mama wa TRA anaeshughulikia maswala ya leseniLeseni na pass ya kusafiria ni vitu rahisi, ufanye mkono uwe mrefu kidogo utapata kila kitu
Amesema anataka leseni hiyo reseni itakua umejichanganya mkuuSwala la reseni n depends na wapi umeomba ila kama uko serious ndani ya siku 3 unapata reseni ako vzur tu bila ubabaishaji kwa hapa dar japo we mwywe uwe mwepesi sio mtu wa kulalamika tu huku mzito
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Amesema anataka leseni hiyo reseni itakua umejichanganya mkuu
Nipatie tips mkuuPoleni sana, wengine wanazipata ndani ya dakika...
cha muhmu hapo namba ya nida na tin # na hela yako tu mkuuNipatie tips mkuu
tofautisha kutafta reseni mpya na kurenew resenimbona mm nilipata ndani ya siku 1 tu
najua nilichoandika ndugu mjini hapa,najua maana ya kurenew na najua kutafta leseni nilichoandika hpo ni leseni ya kwanza kumilikitofautisha kutafta reseni mpya na kurenew reseni
reseni = leseniSwala la reseni n depends na wapi umeomba ila kama uko serious ndani ya siku 3 unapata reseni ako vzur tu bila ubabaishaji kwa hapa dar japo we mwywe uwe mwepesi sio mtu wa kulalamika tu huku mzito
Nitakua kama namchongea...Nipatie tips mkuu
Mmaza tolu, anavaa miwani hajawahi kutembea kwa haraka wala hacheki na mtu. Mneza kua 100 mnamngojea na akasepa kama.vile hawaoni. Pole mkuu. Mimi yangu nimerenew tangu mwaka jana mwezi wa 7 na sijawahi kurudi kuifuatilia maana najua kabisa nisingeikuta. Muhimu risiti unayo. We piga picha tunza risiti. Trafki akikudaka ni jukumu lake kuangalia kwenue system kama licence iko legit. Lakini kama ndo leseni mpya, kisanga unacho. Kalaminate risiti yao ile maana utaitumia sanaYule mama niliyemkuta TRA hakuwa kama mtu wa upigaji... Kwanza hata alipokaa ni rahisi kuonekana ukijaribu kufanya mambo ya rushwa nahisi wanaokaa Mwanza wanamfahamu huyo mama wa TRA anaeshughulikia maswala ya leseni