Arnold Kalikawe
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 152
- 374
Miaka ya zamani kidogo ulikuwa ukiomba leseni ya udereva haichukui muda mrefu unapewa leseni yako.
Lakini siku hizi kumekuwa na changamoto kidogo hususani kwenye muda wa kuomba leseni mpaka kuja kuipata, watu wanakaa miezi hadi mwaka hawajapata leseni zao za udereva.
Shida inakuwa ni nini? Je ni vifaa vichache vya kutengenezea kadi za leseni? Au wenye ujuzi ni wachache? Au raw materials (Mali ghafi) ni chache?
Hii issue pia hipo kwenye vitambulisho vya NIDA