TRA kukusanya Kodi kwa Machinga wote Kariakoo

Tunataka tukusanye kodi kama wenzetu waliyoendelea ila kwenye matumizi sahihi ya hizo kodi za wananchi hatujifunzi kutoka kwa hao wenzetu waliyoendelea.
 
Safi sana nchi yetu sote tuijenge wote.
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kuwasajili wafanyabiashara wadogo ‘wamachinga’ waliopo katika Soko Kuu la Kariakoo ili kuingizwa kwenye mfumo wa malipo ya kodi wa makadirio.

Swali: Kwanini Kariakoo tu?

 
Hao machinga ndo wanaongoza kwa kuzaa na kutumia huduma za jamiii kwa wing kwanzia shule za kata ad hospital za umma
So wacha walipe kodi sabu kodi ni wajibu wa kla mwenye kipato
 
Mkuu ni kawaida na ni utaratibu mzur kulipa kodi,ko unataka wawe wanapita katiakoo wanaulliza Je,wewe ni tajiri?! Akikubali ndo alipe kodi sio?!Watanzania tukiachwa na hiz itikadi za kujiita maskini tutaendelea mpk Mungu ashuke
 
Ni vizuri sana ila ziwe himilivu, mkuu umeshawahi kufanya biashara?kama ndio, upo kwenye kadirio au VAT
Ndio nimefanya. TRA wenyewe wamesema wamefatilia na kugundua mauzo ya Machinga huvuka kiwango cha chini ya 4mil.

Na ndio maana wanaanza nao bila makadirio ila watawapa mtego wa EFD ambapo kuanzia July wataanza kadiriwa kutokana na EFD ilivyosoma
 
Umasikini sio sifa

Hakuna Masikini KKOO
 
Safi sana kwa ukusanyaji wa kodi kwa kufuata sheria na kanuni na mipangilio.
 
Kwa staili hiyo machinga watapungua sana kkoo watabaki wale wakutembea tu wale wavimeza watajiondoa wenyewe ni mgumu kusurvive na makadirio ya TRA huwa hayashuki hata ulie machozi ya damu kila mwaka lazima yapande hata kama biashara sio nzuri
Kupanda sio lazima.
Na unaweza kubageni yakashuka.
Msiwatishe watu hapa wakakimbia
 
Halmashauri ndiyo upigaji ulikojaa. Afadhali wakusanye TRA iingie kwenye fuko kuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…