Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
Natoka Tra nakuta tozo la kodi la sh laki tatu kwa miaka 4 iliyopita kwa pikipiki iliyokwisha kufa zamani. Naona sio haki kulipa kodi kwa chombo kilicho kwisha kufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, walikuita au ulijipeleka mwenyewe?. Yahani ilikuwaje hadi ukaenda tra kupigiwa hesabu za kitu kisicho kuwepo?Natoka Tra nakuta tozo la kodi la sh laki tatu kwa miaka 4 iliyopita kwa pikipiki iliyokwisha kufa zamani. Naona sio haki kulipa kodi kwa chombo kilicho kwisha kufa
Natoka Tra nakuta tozo la kodi la sh laki tatu kwa miaka 4 iliyopita kwa pikipiki iliyokwisha kufa zamani. Naona sio haki kulipa kodi kwa chombo kilicho kwisha kufa
kuna utaratibu juu ya chombo kilicho kufa kutolewa taarifa pindi kinapokuwa kimekufa, wanakirekodi kuanzia hapo hutozwi kodi, km ulikaa kimya bila kuwajulisha unahesabika kuwa wewe ni mkwepaji wa kulipa kodi, periodKwan sheria inasemaje kama chombo kimekufa na hakiwezi kitengenezeks tena!? Tukishajua tutajua kama umeonewa ama lah
Kufanya kosa sio kosa... ila kurudia kosa hilo hilo ndio kosa.
Itumie vyema kadi yako ya kupigia kura ikifika 2020.