Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Hapo kwa mafundi ujenzi mitaani sijui watafanyaje.Wapo katika mchakato na wengine wameshaanza kulipa,
Tutafika mpaka kwa mafundi ujenzi na waendesha bodaboda!
Hii nchi tajiri sana tunarasilimali za kutosha!
Fundi ujenzi kama anapata laki 4 akatwe wapo wanaopata laki 3 wanakatwaWapo katika mchakato na wengine wameshaanza kulipa,
Tutafika mpaka kwa mafundi ujenzi na waendesha bodaboda!
Hii nchi tajiri sana tunarasilimali za kutosha!
Na hao wa kipato kidogo nao wakatwe.. nimeona umeandika ki wivu wivu bila kuandika kivingine.
Kila mtu hapo ana kipato chake, manager anapata chake, promota anapata chake, msanii anapata chake. Pay as you earnHivi hao Mapromota/mameneja wa hizo show huwa hawalipii kodi nao?
wote walipeKila mtu hapo ana kipato chake, manager anapata chake, promota anapata chake, msanii anapata chake. Pay as you earn
Mbona kama huu ni uchochezi, hutaki watu walipe kodi kwa maendeleo ya taifa? kila mtu yapasa alipe kodimmmnh wala wasimtoze,tayari analisaidia taifa kwa ku create job opportunities ,wewe ongea hapa JF,ila wenzako wanachapa kazi kwake,wanafanya kipractikale 'hapa kazi tu'
Mbona kama huu ni uchochezi, hutaki watu walipe kodi kwa maendeleo ya taifa? kila mtu yapasa alipe kodi
Hahaha siku nyingine usirudie hivyo..wakikusikia utakuwa shakani...wahimize watu walipe kodisema taratibu,naogopa kupimwa mkojoππ