TRA KUSANYENI KODI KWA WASANII NA WOTE WANAOINGIZA KIPATO KIKUBWA

TRA KUSANYENI KODI KWA WASANII NA WOTE WANAOINGIZA KIPATO KIKUBWA

Madam Mwajuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2014
Posts
7,071
Reaction score
6,753
TRA nawakumbusha tu, mko busy kukusanya mapato kwa wafanya biashara wanaopata faida kidogo kwa mwezi, wafanyakazi wa uma wenye vipato hadi laki 300 kwa mwezi mnawakata.

Lakini msanii anapata milioni 2 hadi 10 kwa usiku mmoja hakatwi kodi. Ama hamjui maana ya pay as you earn???
 
Wapo katika mchakato na wengine wameshaanza kulipa,
Tutafika mpaka kwa mafundi ujenzi na waendesha bodaboda!
Hii nchi tajiri sana tunarasilimali za kutosha!
 
Mfumo wa kazi za wasanii wetu haujakaa vizuri pia,Japo TRA wanaweza kufanya kitu ili kuweza kurasimisha kazi za wasanii na kutengeneza mazingira mazuri ya kukusanya kodi
 
Wapo katika mchakato na wengine wameshaanza kulipa,
Tutafika mpaka kwa mafundi ujenzi na waendesha bodaboda!
Hii nchi tajiri sana tunarasilimali za kutosha!
Hapo kwa mafundi ujenzi mitaani sijui watafanyaje.

Labda watembee wakikuta nyumba inaanza kujengwa, daah sijui watafanyaje, au labda anaeanzaujenzi atoe taarifa.
 
Na hao wa kipato kidogo nao wakatwe.. nimeona umeandika ki wivu wivu bila kuandika kivingine.
 
Hivi hao Mapromota/mameneja wa hizo show huwa hawalipii kodi nao?
 
Wapo katika mchakato na wengine wameshaanza kulipa,
Tutafika mpaka kwa mafundi ujenzi na waendesha bodaboda!
Hii nchi tajiri sana tunarasilimali za kutosha!
Fundi ujenzi kama anapata laki 4 akatwe wapo wanaopata laki 3 wanakatwa
 
mmmnh wala wasimtoze,tayari analisaidia taifa kwa ku create job opportunities ,wewe ongea hapa JF,ila wenzako wanachapa kazi kwake,wanafanya kipractikale 'hapa kazi tu'
 
mmmnh wala wasimtoze,tayari analisaidia taifa kwa ku create job opportunities ,wewe ongea hapa JF,ila wenzako wanachapa kazi kwake,wanafanya kipractikale 'hapa kazi tu'
Mbona kama huu ni uchochezi, hutaki watu walipe kodi kwa maendeleo ya taifa? kila mtu yapasa alipe kodi
 
Back
Top Bottom