Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya pango, pia hawana Hati ya Mlipakodi TRA(TIN) kama ambavyo wenzao wa mitaani walivyonavyo ambavyo vinawawezesha kulipa kodi halali za serikali.
Ili kuhalalisha biashara zao zinazowahudumia abiria wengi kila siku ni wajibu wa TRA iwasajili ili waweze kupata leseni ya biashara.
Ili kuhalalisha biashara zao zinazowahudumia abiria wengi kila siku ni wajibu wa TRA iwasajili ili waweze kupata leseni ya biashara.