Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hii SGR mwaka huu itakuua. Lakini mbona mabasi bado yanajaa?Kunawafanyabiashara ambao wanauza vyakula na vinywaji ndani ya treni ya SGR ambao hawatoi risiti ya EFD kama sheria inavyotaka. Wafanyabiashara hawa hawalipi Withholding Tax kwa kukosa kodi ya pango, pia hawana Hati ya Mlipakodi TRA(TIN) kama ambavyo wenzao wa mitaani walivyonavyo ambavyo vinawawezesha kulipa kodi halali za serikali.
Ili kuhalalisha biashara zao zinazowahudumia abiria wengi kila siku ni wajibu wa TRA iwasajili ili waweze kupata leseni ya biashara.
Wanalipa kodi.Hii SGR mwaka huu itakuua. Lakini mbona mabasi bado yanajaa?
Huu mbona na uzushi?Wale wauza maji na korosho kwenye mabasi wanatoa efd?
Hakuna basi linalosafiri na wauza korosho au soda, kama lipo litaje.Wale wauza maji na korosho kwenye mabasi wanatoa efd?
Hawa hawalipi kodi, wanatumia ajira yao kuhalalisha biashara zao kinyume na sheria.Wanalipa kodi.
Hahaha kikombe cha kahawa buku, cup cake buku. Maji nusu lita buku.Hawa hawalipi kodi, wanatumia ajira yao kuhalalisha biashara zao kinyume na sheria.
Kulipa kodi ni haki ya kila raia anayefanya biashara.Hahaha kikombe cha kahawa buku, cup cake buku. Maji nusu lita buku.
TRA Tanzania mmesikia?