Nyendo
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,336
- 4,731
Kwenye kikao cha wafanyabiasha na Waziri Mkuu kilichoitishwa ili kutatua changamoto zao kufuatia mgomo wa wafanyabiara ulioanza tar. 15.05.2022. Wafanyabiasha wawatuhumu maafisa wa TRA kuwaomba rushwa wafanyabiashara.
Wafanyabiashara walalamika kufuatwa mpaka nyumbani na maafisa wa TRA ili kuombwa pesa, wadai makusanyo mengi yanayofanyika sokoni hapo hayaingii serikalini ila yanaingia kwenye matumbo ya maafisa wa TRA.