comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
sasa bandiko kama hili linajibu swali la bwana yule mliyemtoza mamlioni kwa pampas na viguo vya mtoto. Hamuwezi kutumia mifano rahisi kuwafanya wananchi waelewe?
Mfano shida ya watanzania wengi iko hapa;
Mtu kanunua gari kwa dola 1000 sawa na TZS 2,270,000 inakuwaje anaishia kulipa TZS 7,000,000 kwa mfano? Sasa nyinyi mnakuja na marangi rangi ambayo hayajibu tatizo!