TRA mfumo wenu unasuasua mno

TRA mfumo wenu unasuasua mno

activist

Senior Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
180
Reaction score
281
Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini.

Hii ni kero
 
Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero
Network busy kuelekea kufunga mahesabu ya mwisho wa mwezi.

kua mustahimilivu tu, na mwenye subra.

Ndio changamoto, dosari na kasoro za technologia hizi 🐒
 
Back
Top Bottom