A activist Senior Member Joined Jan 3, 2014 Posts 180 Reaction score 281 Mar 28, 2024 #1 Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero
Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 24,665 Reaction score 25,388 Mar 28, 2024 #2 activist said: Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero Click to expand... Network busy kuelekea kufunga mahesabu ya mwisho wa mwezi. kua mustahimilivu tu, na mwenye subra. Ndio changamoto, dosari na kasoro za technologia hizi 🐒
activist said: Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero Click to expand... Network busy kuelekea kufunga mahesabu ya mwisho wa mwezi. kua mustahimilivu tu, na mwenye subra. Ndio changamoto, dosari na kasoro za technologia hizi 🐒