TRA mfumo wenu wa e-filing hasa kwenye VAT unasumbua-rekebisheni

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
TRA mmeweka mfumo mpya wa E filing ikiwemo VAT - unasumbua mrekebishe kama siyo njia ya kusumbua walipa kodi
 
TRA mmeweka mfumo mpya wa E filing ikiwemo VAT - unasumbua mrekebishe kama siyo njia ya kusumbua walipa kodi
Nimezoea kuwa uumtetezi wa Kila jambo,ila mengi yaliegemea mabaya ya Chama lako,kumbe unaona na yanayowasumbua watanzania eehh🤔
 
Nimezoea kuwa uumtetezi wa Kila jambo,ila mengi yaliegemea mabaya ya Chama lako,kumbe unaona na yanayowasumbua watanzania eehh🤔
ukitaka kufuata ukweli wewe nifuate tu hutapoteza kitu hata
 
Kweli kabisa mfumo unasumbua hasa wakati wa kusubmit VAT monthly return kwa zile items ambazo umefanya bank transactions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…