konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,752
- 9,046
Na hata wakipokea wana majibu ya kukatisha tamaa kama si kukwaza..Hata kwa maswali general,utaulizwa uko ukanda gani,wapigie hukoNi kweli mtandao huo una matatizo lakini siku hizi hata customer care ya tra kupokea simu ni tatizo ni kama tra wanatengeneza tatizo ili wapate pesa za faini
Ni namna ya kutengeneza rushwa, kwani huu mfumo umeondoa kuonana ana kwa ana, sasa lazima Mazingira yatengenezwe, rushwa haiwezi isha bila mwananchi kupewa nafasi ya kulalamika kwa ngazi za juu kwa urahisi na salama.TRA acheni ubabaishaji. Kama hamkuwa tayari kuingia kwenye mfumo wa kidigitali mlitakiwa msubiri mpaka pale mtakapokuwa tayari. Sio kulazimisha kuonekana mpo advanced wakati ni ubabaishaji mtupu.
Toka tarehe 1 February mtandao wenu unasumbua kufanya e-filing. Na due date ikipita mnaimpose penalties. Au ndio mpango wenu watu washindwe kufile on time ili mpate hela?