KERO TRA mmetoa nafasi za ajira ila network yenu ni ‘kimeo’, mnategemea tunaombaje hizo nafasi?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

NBica

Member
Joined
Sep 13, 2010
Posts
39
Reaction score
36
WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.21 (2).jpeg
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu hata kujisajili.
WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.20 (1).jpeg
Hali hiyo imesababisha hata wanaohitaji huduma nyingine za kimtandao nao kuathirika, siamini kama server yenu imezidiwa siku zote hizo, au kuna watu wameamua kufanya yao ili maombi yapungue kwa sababu wanazozijua wao.
WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.21 (1).jpeg
Mmetoa nafasi zaidi ya 1,000, mnatakiwa kutambua mmeshikilia hisia za watu wengi muda huu, rekebisheni network yenu, TRA ni taasisi kubwa hamstahili kulalamikiwa kwa hili wiki nzima sasa.
WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.20 (2).jpeg

WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.21 (2).jpeg

WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.21.jpeg

WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.20.jpeg
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.20.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.20.jpeg
    10 KB · Views: 1
  • WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.21.jpeg
    WhatsApp Image 2025-02-11 at 06.53.21.jpeg
    35.7 KB · Views: 2
Hao walalamikaji sasa, asilimia kubwa ni kwale wa shaur ,stki, nmechoka, umelal, simb, ynga
 
IT wa Bongo vimeo
100% !! Hii portal kwa kweli ni changamoto !! wakati ni muhimu sana katika kurahisisha ukuswanyaji wa kodi !!! Ukizubaa na fillings utajikuta unecessarily unapigwa fines za ajabu ajabu !!!
 
View attachment 3232930
Malaka ya Mapato Tanzania (TRA) ndugu zangu mmetoa matangazo ya kazi na kuwataka Watanzania waombe lakini sijui ni kwa makusudi au bahati mbaya mtandao wenu ni shida kiasi kwamba inakuwa ni vigumu hata kujisajili.
View attachment 3232920
Hali hiyo imesababisha hata wanaohitaji huduma nyingine za kimtandao nao kuathirika, siamini kama server yenu imezidiwa siku zote hizo, au kuna watu wameamua kufanya yao ili maombi yapungue kwa sababu wanazozijua wao.
View attachment 3232921
Mmetoa nafasi zaidi ya 1,000, mnatakiwa kutambua mmeshikilia hisia za watu wengi muda huu, rekebisheni network yenu, TRA ni taasisi kubwa hamstahili kulalamikiwa kwa hili wiki nzima sasa.
View attachment 3232927
Huo ni mchongo
 
KAZI zina wenyewe.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom