Tra mnajiaibisha barabarani live na rushwa za kimaskini

Tra mnajiaibisha barabarani live na rushwa za kimaskini

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Loh

Jamani ni swala la kusikitisha..hivi tangu mwanzo wa mwezi huu kumekuwa na vijana wanajivalia tai ni vichekesho wengine sijui wametokea ****** hata rangi awajui kumechisha
utakuta wanasogelea gari za mtu ..nikamuuliza kaka mmoja mnatokea wapi wakadai TRA wanakagua road license
Wasivyo na akili wanaweza kuona gari iko sawa wanaisimamisha wanaanza kuliza ooh kadi ya gari ..oohh umechukulia wapi pambafuuuuuuuuu kadi ya gari ulinininuliza wewe...awajamaa cha kusikitisha wanapata baahati ya kukamata magari yasiyo na road license...kwa masikitiko hata pesa wanayochukua aizidi alfu kumi

sasa unaweza imagine road licennse zaidi ya laki na ,lakini na njaa zao wanaishia kuchukua alfu kumi na kupoteza mailion ya pesa..mi naomba kama ma bosi wa tra mmefanya mitaji yenu huko bandarini akulipi sana naomba takukuru wawepo kila traffic light ...haya ni mambo ya aibu hata kama njaa mnaliaibisha taifa jamani...
 
Ndo serikali yetu hiyo, inasema watu hawawezi kusoma bure wakati mapato ya ndani hawakusanyi vilivyo, rushwa kila sehemu kila mtu ni boss hawafanyi kazi ni ujanja ujanja tu wa kujipatia hela haramu.

Wabadilike, kama hawataki tutawapa somo october 31.
 
Back
Top Bottom