Mimi nime jibu kufuatana na mleta mada kuweka mambo ya kodi, na mambo ya kodi yana fuata income tax act. 1973 as amended.Hiyo ya definition unaileta wewe. Dr Tax alisema watapewa SPECIAL STATUS lakini wanahamaki eti I awanyima birthright. Kwa hiyo wawe treated sawa tu na birthright wengine, walipe kodi. TRA kidogo alikuwa amezubaa tu, alitakiwa awafuate tangiapo. Hili la kodi walikuwa hawajalifikiria.