Mimi nime jibu kufuatana na mleta mada kuweka mambo ya kodi, na mambo ya kodi yana fuata income tax act. 1973 as amended.Hiyo ya definition unaileta wewe. Dr Tax alisema watapewa SPECIAL STATUS lakini wanahamaki eti I awanyima birthright. Kwa hiyo wawe treated sawa tu na birthright wengine, walipe kodi. TRA kidogo alikuwa amezubaa tu, alitakiwa awafuate tangiapo. Hili la kodi walikuwa hawajalifikiria.
What services are you giving them in return?
Walipe kodi alafu uzitume tena Japan zikanunue ndinga za Zero km?
Hizi pesa wanazowatumia wajomba zao huku zinatosha.