DOKEZO TRA na Askari barabara ya Tanga-Segera punguzeni rushwa

DOKEZO TRA na Askari barabara ya Tanga-Segera punguzeni rushwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Tarimo45

Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
5
Reaction score
1
Ni wiki sasa imepita tangu nipitie njiapanda ya Segera
askari wengi wakishirikiana na baadhi ya maofisa wa T.R.A hapo wanapokea rushwa wazi wazi bila woga .

Wakati wa usiku unapofika hapo askari anakuwahi mlangoni umpe pesa kama huna ndio kipengele unataftiwa kosa la kukufanya uingize gari T.R.A ukapaki bila kujali dereva nimepakia nyanya au karoti.

Hawa askari na maofisa wa T.R.A wanakesha hapo kula rushwa na kupoteza mapato ya serikali.

Wanalazimishia madereva tusiingie T.R.A kugongesha ili wapate buku 5 zetu na sisi tunaganga njaa tu ,msifikiri tunalalia pesa mmekuwa kero sana

Serikali fatilieni hapo Segera ni kero sana
 
Kama mwajili wao mkuu amekula za DP world na kuwaamulu wale kidogo wasivimbiwe wewe inategemea nini
 
Kuna Barrier ya Mkata hapo Jamaa hawana aibu kabisa Kuomba Rushwa
 
Back
Top Bottom