Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
Nenda TRA chukua form ambayo utaenda kujaza na mwenyekiti au mtendaji wa mtaa/kijiji/kitongoji unachotoka ukishaijaza irudishe TRA ukiwa na kopi ya kitambulisho cha uraia.Kitambulisho cha uraia ndio cha msingi.Pia naona hata kama eneo halijapimwa lazima ulipie Jodi ya jengoWadau habari za asubuhi,
Kwa wataalamu wa kodi ( Tax Consultants) ama watumishi wa TRA, kama nina nyumba eneo halijapimwa na mimi binafsi sina Tax Identification Number ( TIN) nawezaje kulipa kodi ya majengo?
Asanteni
Sheria inahitaji uwe na kibali cha ujenzi.Nenda halmaushauri kwenye ofisi ya ardhi ukiwa na ramani ya kiwanja pia utalipia Kibali cha ujenzi sijui kwa sasa itakuwa bei gani mimi 2018 nililipa 50,000Jana nimekuta kwenye nyumba yangu wameandika 01/05 WASILISHA KIBALI 16/06/2020 sasa sielewi naanzia wapi, mwenye uelewa tafadhari
Sheria inahitaji uwe na kibali cha ujenzi.Nenda halmaushauri kwenye ofisi ya ardhi ukiwa na ramani ya kiwanja pia utalipia Kibali cha ujenzi sijui kwa sasa itakuwa bei gani mimi 2018 nililipa 50,000
Asante sana sana JAPO JINA LAKO HALIENDANI NA MAJIBUYAKO MAZURINenda TRA chukua form ambayo utaenda kujaza na mwenyekiti au mtendaji wa mtaa/kijiji/kitongoji unachotoka ukishaijaza irudishe TRA ukiwa na kopi ya kitambulisho cha uraia.Kitambulisho cha uraia ndio cha msingi.Pia naona hata kama eneo halijapimwa lazima ulipie Jodi ya jengo
Nadhani hili eneo TRA walifanyie kazi, mimi niko Namtumbo kijijini huku kibali cha ujenzi napata wapiSheria inahitaji uwe na kibali cha ujenzi.Nenda halmaushauri kwenye ofisi ya ardhi ukiwa na ramani ya kiwanja pia utalipia Kibali cha ujenzi sijui kwa sasa itakuwa bei gani mimi 2018 nililipa 50,000
Nadhani hili eneo TRA walifanyie kazi, mimi niko Namtumbo kijijini huku kibali cha ujenzi napata wapi
Sasa mbona tuliambiwa kila jengo, kama ni bure basi wamesaidia sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kijijini si ni bure, haya mambo naona yako mjini tu
Mkuu kwenu hamna halmashauri za wilaya za vijijini ?,ni maajabu hayaNadhani hili eneo TRA walifanyie kazi, mimi niko Namtumbo kijijini huku kibali cha ujenzi napata wapi
Hata mkuu wetu shetani huwa mwema mara chachechacheAsante sana sana JAPO JINA LAKO HALIENDANI NA MAJIBUYAKO MAZURI
As long as unataka Kibali utaitoa tu hata ungekuwa unajenga nyumba ya laki 1 na 50 elfu huwezi shindwa kutoa 50 elfu ya Kibali chiefDah elfu 50 mbona nyingi namna hiyo? Aiseee
As long as unataka Kibali utaitoa tu hata ungekuwa unajenga nyumba ya laki 1 na 50 elfu huwezi shindwa kutoa 50 elfu ya Kibali chief
Ishu si walikuwa wapi,sheria zimeshawekwa ukijijua unataka kujenga lazima ukaombe Kibali cha ujenzi kwa kukushangaza zaidi sheria haitambui iwapo una taarifa au hauna taarifa kuhusu sheria hiyo najua utasema ulikuwa hujui iwapo sheria hiyo ipo,kwa kuongezea kutojua sheria hakukufanyi uiepuke hiyo sheria isikuadhibuSasa kwa wale ambao tumejenga na tumeishi karibia miaka minne , leo ndo wamejua kama kuna watu wanaishi huku? Kipindi chote walikuwa wapi
MKuu ingia kwenye mtandao wa tra www.tra.go.tz ingia sehemu ile imeandikwa "laws and regulations" utaikuta "regulation" ya property tax ya mwaka 2020 inainisha vizuri namna ya kufanya lakin pia niliona pia kuwa unaweza kufanya usajili kupitia mtandao (online) sasa sina uhakika sana na lugha iliyotumika hapo lakin naweza kusema haya mchache.Wadau habari za asubuhi,
Kwa wataalamu wa kodi (Tax Consultants) ama watumishi wa TRA, kama nina nyumba eneo halijapimwa na mimi binafsi sina Tax Identification Number (TIN) nawezaje kulipa kodi ya majengo?
Asanteni
Imenisadiia sana kumbe sio lazima uwe na TIN unaweza tumia hata number simuMKuu ingia kwenye mtandao wa tra www.tra.go.tz ingia sehemu ile imeandikwa "laws and regulations" utaikuta "regulation" ya property tax ya mwaka 2020 inainisha vizuri namna ya kufanya lakin pia niliona pia kuwa unaweza kufanya usajili kupitia mtandao ( online ) sasa sina uhakika sana na lugha iliyotumika hapo lakin naweza kusema haya mchache. Sheria inaonesha kinachohusika ni"property " na tra wanashirikiana na halimashauri kupata taarifa sahihi za" property" itafute hiyo "regulation" uisome itakupa mengi.( samhani kwa kuchanganya lugha ni katika kujaribu kuelewesha)
Kama umeona unastahili kulipa hiyo kodi (property tax), we jongea tu mpaka ofisi za TRA, utawapa taarifa zako na anuani ya makazi, then watakuingiza kwenye mfumo rasmi wa kulipa hiyo prop tax. Kwa kodi hiyo huitaji kuwa na TIN wala hata Hati ya nyumba au kiwanja. Pia hata watakapo kuingiza kwenye mfumo hawakupi TIN number bali wanakupa Tax payer ID na kuanzia hapo utakuwa unatumiwa deni lako kwenye simu yako pamoja na Controll Number ambapo utaweza kulipia hiyo property tax kwa njia ya mtandao bila hata kwendapanga msululu TRA.
Nyumba zote za makazi ya kawaida isipokuwa migorofa, gharama za property tax ni TSHS. 10,000 kwa mwaka. Magorofa ni 50,000Gharama yake ni kiasi gani? Au inategemea na nyumba?
Nyumba zote za makazi ya kawaida isipokuwa migorofa, gharama za property tax ni TSHS. 10,000 kwa mwaka. Magorofa ni 50,000