TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

Bandari ya mombasa charges zipo hivi? Nadhani kuna haja ya kuhamia huko.
 

sasa bado hizi kodi mpya za mgimwa alizotangaza juzi,,,,,,,tutaendelea kushika bomba kwenye daladala au kutembea kwa TANZANIA 11(ELEVEN)
 
Dah mkuu watu wanatafuta solutions we unasubiri ile kwa watanzania wenzako waloagiza afu wakashindwa kulipia dues zao? Emu tusubiri hiyo auction kama itakua na manufaa

I made a lot of money kwenye hili, watu walitemesha mizigo, tukavuta na kuizungusha kitaa... "kwik money"

Tatizo vijana hamsomi alama za nyakati na kuchungulia principles za ubepari zinafanyaje kazi....

Kalagabaho

BTW, hii thread ni ya mwaka 2011.... Yaelekea mzee unaishi kwa slow motion au hujui kusoma kalenda wala kwenda na wakati
 
wale nikiwapa 1 M wagawane hawana ujanja. Nasuka nao dili kwanza ndo naupitisha. Ikishindikana pale Namanga nna watu wangu watalipitisha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…