TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

TRA na mfumo mpya wa kufanya valuation of Used Vehicles

dah sasa sie wengine tulikuwa tunachanga tununue hivyo viused, tutaweza kweli bei yake, si mchezo, yani nchi haitengenezi gari, haitengenezi vipuri vya magari,lakini kwa kodi, sijui sababu hao wanaopanga makodi wanapewa magari ya bure, dah mie sasa kwishnei
 
Wadau

Kwa hili tweza pinga mahakamani. Nchi yetu ilijiunga na WTO mwaka 1995, makubaliano ya kuwa ndani ya WTO ni pamoja na kukubali uniform way za kudetermine customs value on imported goods. Sasa TRA wamepata wapi nguvu kukiuka taratibu zilizowekwa saini kabla hata TRA haijaundwa? Au ndo nguvu ya DOLAAAAAAAAAAAAAA
 
Haya ndio matokeo ya TRA kukosa ubunifu wa vyanzo vingine vya kodi.
Kila mara wanategemea kupata pesa kwa kupandishia kodi zinazohusiana na magari, fegi na ulabu. Hii inanikumbusha yule mama alitupandishia gharama ya Motor vehicle/road licence miaka michache iliyopita...

Hawa Mapunga kwanini waanze na hiyo sytem mpya kabla ya mwaka mpya wa fedha? kwanini hawakuwapa watu taarifa mapema wajipange ili kama mtu budget yake ni ndogo aache kabisa kuagiza au wanataka gari ikifika hapo mtu ashindwe kulipia wapige mnada hiyo gari?
 
Wadau.

Wengi wenu mlikuwa na maswali sana kuhusu jinsi gani kodi utapata. Nimeattach documents mbili hapa chini jinsi weza pata kodi halisi utakayolipia bandarini kama taxes.

Document ya kwanza inaitwa CRSP-Current Retail Selling Price: Humo ndimo utakapopata bei halisi ya gari unalotaka kuagiza. Ukishapata ndipo unafungua document ya pili ambayo utaweka exchange rate (Huwa wanatumia za BOT) afu waenda jaza bei yako kwenye section ambayo gari lako linafall.

Nadhani nimejibu maswali ya wengi
 
Attachments

Dah nimejaribu Toyota Kluger yaani bei halisi wao wameweka USD 56000 Eihs total cost ni milion tisini na moja.
esh....Swali langu hiyo bei wao wanangalia lilipotengeneza kabla halijawa tumika ndio hiyo bei ambayo iko kwenye spreed
sheet? so kama mie nimeifisha kwa dola 12000 bandalini inakuwaje?fafanua kidogo hapo.
 
Hapa maswali ni mengi saana. Hiyo bei ya gari wakati mpya;
1. Inaamuliwa kwa soko gani? Maana mfano toyota inatengeneza kila nchi.
2. Halafu ya pili kama ni market value, basi ya kwanza inabidi iwe historical hadi kwenye exchange rates. Wao wanafanyaje?
 
kila nikiangalia hizo bei sipati jibu, watu wachache sana wataweza agiza magari, ama ndizo njia walizobuni wao kupunguza foleni, hao wajapani magari yao watafute wa kuwauzia maana ni balaa
 
Kama ni hivyo basi tunakufa kwa kifo cha mende. Hivi wataalamu wetu uchwara wanashindwa kupata mapato halali mbadala bila ya kumwumiza mlalahoi na mikweche yao..mathalani serikali inashindwaje kuanza kutoza kodi kwa mishahara na posho za wabunge ili kudumisha haki na usawa ktk jamii. Iweje akina mama ntilie wanakabiliwa na tozo mbalimbali licha ya kipato chao kuwa cha kuganga njaa tu. Ama iweje watumishi wa serikali wajiwekee mabilioni katika posho ( karibu robo ya bajeti nzima), badala ya fedha hizo kuelekezwa katika sekta nyeti zinazolenga kuwatatulia matatizo ya kijamii wananchi???? Kwa hilo nasema HAPANA inatosha.
 
Msichanganyikiwe wandugu, hayo ndiyo matokeo ya Mkulo na CCM! CCM! CCM! kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii "kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu". Ukiona hayo chukua hatua, mwambie na mwenzako. peopleeeeeeeeeeeeeessssssssss!!!!!!!!!!
 
Hoja nyingine hapa inaweza kuwa, licha ya kwamba wanalenga kuongeza mapato lakini wanasahau kuwa hizo evaluation zisizo na mantiki zitawafanya watu wanunue magari yenye miaka 9 kwahiyo hata life span itakuwa kichekesho kulinganisha na yale ya miaka 2-3. Ni lini serikal iitakuwa inawaconsult wananchi kwenye mambo yanayowahusu?
Si hivyo tu; kuna haja sisi kama Watanzania tuwe tunahoji wanasiasa watafanya nini kupitia ilani zao badal amikusanyiko ya watu, sare na posho. Tuhoji, kwenye kodi watafanyaje? kwenye barabara nk. Lakini hili hatulijui kabisa.
 
Dah nimejaribu Toyota Kluger yaani bei halisi wao wameweka USD 56000 Eihs total cost ni milion tisini na moja.
esh....Swali langu hiyo bei wao wanangalia lilipotengeneza kabla halijawa tumika ndio hiyo bei ambayo iko kwenye spreed
sheet? so kama mie nimeifisha kwa dola 12000 bandalini inakuwaje?fafanua kidogo hapo.

Mdau...Kluger ni ya mwaka gani? Mfano kama ni ya mwaka 2003 inamaana depreciation 60% itakua within 8 to 9 years. Maadam Kulger inakuwa na CC zaidi ya 2000 waenda pale kwenye tabulation yake mara baada ya kuweka exchange rate then waplace 56,000 na kuweka 60% ile sehemu ya depreciation hapo utapata FOB exc factory. Jinsi nimefanya kama ni ya 2003 wewe utakuwa better off mana FOB ex factory itakuwa USD 11,045 so hii ndo itatumika kufanya valuation na total taxes zitakuwa USD 6875 hivi..
 
mkuu ManCity hiyo kwa magari yote ama magari yenye uchakavu tu?

Mfumo huu unatumika kwa magari youte used yanayokuwa imported Tanzania. Suala la msingi ujue gari lako linafall mwaka gani ili upate depreciation rate then uwe na RSP yake hapo ni kwenda kweye tabulation kujaza details na upate kodi halisia.

KAZI KWAKO
 
Hapa maswali ni mengi saana. Hiyo bei ya gari wakati mpya;
1. Inaamuliwa kwa soko gani? Maana mfano toyota inatengeneza kila nchi.
2. Halafu ya pili kama ni market value, basi ya kwanza inabidi iwe historical hadi kwenye exchange rates. Wao wanafanyaje?

Wajua hapo ndipo walipokosea kuhusu RSP mana wao wamechukua bei za June 2011 ambazo zitakuwa zatumika kuvalue mpaka magari yalozidi 10 years and so. Huoni huu ni uzushi?????????
 
Wajua hapo ndipo walipokosea kuhusu RSP mana wao wamechukua bei za June 2011 ambazo zitakuwa zatumika kuvalue mpaka magari yalozidi 10 years and so. Huoni huu ni uzushi?????????

Hii kweli kabisa kama gari ni la mwaka 2000 basi wachuklue bei ya mwaka huo na sio ya mwaka huu!
 
Wajua hapo ndipo walipokosea kuhusu RSP mana wao wamechukua bei za June 2011 ambazo zitakuwa zatumika kuvalue mpaka magari yalozidi 10 years and so. Huoni huu ni uzushi?????????

Bonge la Uzushi, ni vihiyo wasiotumia hata logic.
 
Kwa maana hiyo FOB ex factory itakuwa USD 40,000 toa 28,000 (70% of USD 40,000) = USD 12,000 na hiyo ndo itakuwa Customs Value ambayo itakuwa subjected kwenye Import Duty, Excise Duty, VAT na uchakavu (kama upo)....

Ina maana hiyo total tax inayopatikana bado kuna uchakavu juu yake? (kwa gari la mwaka 2001)
 
Ina maana hiyo total tax inayopatikana bado kuna uchakavu juu yake? (kwa gari la mwaka 2001)

Researcher: Ule ulikuwa mfano. Chek templates nlizoattach utapata kila kitu. Cha msingi ujue RSP ya gari lako na year of manufacture ili uweze pata Depreciation rate applicable. Hapo u just feed in unapata KODI yote. Kama limezidi ten years uchakavu ni MUST mana budget ya MKULO haijatoa uchakavu.
 
Halafu hiyo pesa itayeyukia kwenye posho za wanafunzi wa elimu ya juu, wabunge na wafanyakazi wa ngazi za juu huku hospitali na barabara zikibaki taaban na mitaa kuendelea kunuka vinyesi, nk.
 
Hii nchi haipo mikononi mwa watu sahihi. Thats all I can say.

Sijawahi kuamini kwamba gari zote za model flani zilizotenegezwa mwaka mmoja basi zinakuwa evaluated sawa, bila kujali odometer, hali ya matumizi n.k. I think this is a new low, I mean pengine Darwin hakukosea there should be something wrong vichwani mwa watu weusi, and our zombies should be 'up there' competing for trophy of the most incompetents among the dark Africans.

Nways, ongezeni kodi za uingizaji magari wakati mmeboresha hali za usafiri wa umma. Mnapunish watu wa kipato cha chini wasiweze kununua magari wakati hali za usafiri wa umma zipo hoi bin taaban. Ongezeni kodi wakati kuna usafiri wa umma wenye traffic efficiency walau 20-30 Km per hour, tutawaelewa. Otherwise this all thing is so g.ay.

I mean badala ya kuwabana wawekezaji wenu feki wanaoiba madini na rasilimali zengine za taifa mnakuja kuwabana watu maskini wambao wanataka kujinasua ili muwarudishe kwene zama za mawe. Badala ya kuwabana hao mabwenyenye, mnashirikiana nao kuwaibia wananchi na kurukisha kodi.

Nice try CCM zombies, that's the way to go.
 
Back
Top Bottom