Zion Train
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 501
- 78
Haya ndio matokeo ya TRA kukosa ubunifu wa vyanzo vingine vya kodi.
Kila mara wanategemea kupata pesa kwa kupandishia kodi zinazohusiana na magari, fegi na ulabu. Hii inanikumbusha yule mama alitupandishia gharama ya Motor vehicle/road licence miaka michache iliyopita...
Wadau.
Wengi wenu mlikuwa na maswali sana kuhusu jinsi gani kodi utapata. Nimeattach documents mbili hapa chini jinsi weza pata kodi halisi utakayolipia bandarini kama taxes.
Document ya kwanza inaitwa CRSP-Current Retail Selling Price: Humo ndimo utakapopata bei halisi ya gari unalotaka kuagiza. Ukishapata ndipo unafungua document ya pili ambayo utaweka exchange rate (Huwa wanatumia za BOT) afu waenda jaza bei yako kwenye section ambayo gari lako linafall.
Nadhani nimejibu maswali ya wengi
Dah nimejaribu Toyota Kluger yaani bei halisi wao wameweka USD 56000 Eihs total cost ni milion tisini na moja.
esh....Swali langu hiyo bei wao wanangalia lilipotengeneza kabla halijawa tumika ndio hiyo bei ambayo iko kwenye spreed
sheet? so kama mie nimeifisha kwa dola 12000 bandalini inakuwaje?fafanua kidogo hapo.
mkuu ManCity hiyo kwa magari yote ama magari yenye uchakavu tu?
Hapa maswali ni mengi saana. Hiyo bei ya gari wakati mpya;
1. Inaamuliwa kwa soko gani? Maana mfano toyota inatengeneza kila nchi.
2. Halafu ya pili kama ni market value, basi ya kwanza inabidi iwe historical hadi kwenye exchange rates. Wao wanafanyaje?
Wajua hapo ndipo walipokosea kuhusu RSP mana wao wamechukua bei za June 2011 ambazo zitakuwa zatumika kuvalue mpaka magari yalozidi 10 years and so. Huoni huu ni uzushi?????????
Wajua hapo ndipo walipokosea kuhusu RSP mana wao wamechukua bei za June 2011 ambazo zitakuwa zatumika kuvalue mpaka magari yalozidi 10 years and so. Huoni huu ni uzushi?????????
Kwa maana hiyo FOB ex factory itakuwa USD 40,000 toa 28,000 (70% of USD 40,000) = USD 12,000 na hiyo ndo itakuwa Customs Value ambayo itakuwa subjected kwenye Import Duty, Excise Duty, VAT na uchakavu (kama upo)....
Ina maana hiyo total tax inayopatikana bado kuna uchakavu juu yake? (kwa gari la mwaka 2001)