Malalamiko yamebadilika tena? Kwa hiyo Yanga haidai tena hela za ubingwa?YANGA hana tabu na kudai au kudaiwa ila anataka vitu viende kwa mfumo.
Hela za ubingwa ndo hoja kubwaMalalamiko yamebadilika tena? Kwa hiyo Yanga haidai tena hela za ubingwa?
Hivi Tanzania hamnaga issue muhimu ya kujadili zaidi ya mpira wa Simba na Yanga, nani karoga hi nchi? Ni akili duni elimu duni umasikini ushamba au ujinga.YANGA Vs TFF NGOMA BADO NZITO[emoji91]
Kwenye barua ya Yanga waliyoipeleka TFF leo ambayo Ujumbe wa Yanga uliongozwa na Mtendaji Mkuu, Andre Mtine na Mkurugenzi wa Fedha wameambatanisha INVOICE takribani tano.
YANGA hana tabu na kudai au kudaiwa ila anataka vitu viende kwa mfumo.
1-Invoice za Ubingwa Federation Cup zipo tatu kuanzia msimu wa 2021/22.
2-Invoice ya Fedha za Mapato ya Mlangoni zaMichuano ya CAF ambazo Yanga walikatwa na CAFambazo TFF hawajawalipa Yanga.
3- Invoice za Udhamini wa timu ya Wanawake naMashindano ya Vijana. Yanga pia wamesititiza TFF wapige hesabu zao na wana machaguo mawili baada ya hapo kuhusu Fedha zao
1-Kuweka fedha zote ambazo Yanga wanawadai, inakadiriwa MILLION 426 za Kitanzania, kisha TFFwatume INVOICE za Madeni yao yote Jangwani kisha Yanga walipe madeni hayo.
2- Kama TFF waliwakata fedha zote ambazo wanadaiwa, Yanga wanataka kujulishwa kwa USHAHIDIWA RISITI kama ambavyo Sheria za Kodi za nchi zinavyotaka kisha baki yao waingiziwe kwenye account yao ila Makato yote yawe na RISITI.
KISHA Yanga Msimamo wao ni kuwa hakuna maongezi yoyote na kama kuna maongezi (Reconciliation) basi Yanga wapo tayari maongezi hayo yafanyike mbele ya TRA na Mamlaka za Usalama kuhusu MADENI ilikumbukumbu zikae sawa.
NB: hatuchezi
.......# b[OCTOBERTUNATICK]
View attachment 3364441
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wabunge wako wanaomba plate namba private kwenye magari Yao mtaani muwatambueHivi Tanzania hamnaga issue muhimu ya kujadili zaidi ya mpira wa Simba na Yanga, nani karoga hi nchi? Ni akili duni elimu duni umasikini ushamba au ujinga.
Wabunge wetu na raia wa kawaida hawana tofauti wote majinga tu, hi nchi haina "think tank" kabisa hata wazee wa nchi kushauri nxchi ni chawa, ni kama ina laana ya Mungu.Wabunge wako wanaomba plate namba private kwenye magari Yao mtaani muwatambue
Yule karia na watu wake wataiacha ofisi kwa aibu badala ya kutumia hekima na busara,,inavyoonekana Kuna pesa walikuwa wanatumia bila kutoa risiti Wala vielelezo vya msingi,,hapo Kuna vichwa vitaenda na maji na TRA wakianza kufukua pamoja na takukuru mambo yatakuwa mabaya sanaYANGA Vs TFF NGOMA BADO NZITO[emoji91]
Kwenye barua ya Yanga waliyoipeleka TFF leo ambayo Ujumbe wa Yanga uliongozwa na Mtendaji Mkuu, Andre Mtine na Mkurugenzi wa Fedha wameambatanisha INVOICE takribani tano.
YANGA hana tabu na kudai au kudaiwa ila anataka vitu viende kwa mfumo.
1-Invoice za Ubingwa Federation Cup zipo tatu kuanzia msimu wa 2021/22.
2-Invoice ya Fedha za Mapato ya Mlangoni zaMichuano ya CAF ambazo Yanga walikatwa na CAFambazo TFF hawajawalipa Yanga.
3- Invoice za Udhamini wa timu ya Wanawake naMashindano ya Vijana. Yanga pia wamesititiza TFF wapige hesabu zao na wana machaguo mawili baada ya hapo kuhusu Fedha zao
1-Kuweka fedha zote ambazo Yanga wanawadai, inakadiriwa MILLION 426 za Kitanzania, kisha TFFwatume INVOICE za Madeni yao yote Jangwani kisha Yanga walipe madeni hayo.
2- Kama TFF waliwakata fedha zote ambazo wanadaiwa, Yanga wanataka kujulishwa kwa USHAHIDIWA RISITI kama ambavyo Sheria za Kodi za nchi zinavyotaka kisha baki yao waingiziwe kwenye account yao ila Makato yote yawe na RISITI.
KISHA Yanga Msimamo wao ni kuwa hakuna maongezi yoyote na kama kuna maongezi (Reconciliation) basi Yanga wapo tayari maongezi hayo yafanyike mbele ya TRA na Mamlaka za Usalama kuhusu MADENI ilikumbukumbu zikae sawa.
NB: hatuchezi
.......# b[OCTOBERTUNATICK]
View attachment 3364441
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
TAKUKURU wanatuchelewesha sana, samples za charges za money laundering zipo nyingi pale kwa DPP ni kutumbukiza majina na tarehe tu. Wakati wakiwa ndani wanakula ugali, ndio TRA waje kuhakiki hesabu na tayari kukiwa na uongozi wa mpito. Ile style ya kumtoa Malinzi inaweza tumika tena.YANGA Vs TFF NGOMA BADO NZITO[emoji91]
Kwenye barua ya Yanga waliyoipeleka TFF leo ambayo Ujumbe wa Yanga uliongozwa na Mtendaji Mkuu, Andre Mtine na Mkurugenzi wa Fedha wameambatanisha INVOICE takribani tano.
YANGA hana tabu na kudai au kudaiwa ila anataka vitu viende kwa mfumo.
1-Invoice za Ubingwa Federation Cup zipo tatu kuanzia msimu wa 2021/22.
2-Invoice ya Fedha za Mapato ya Mlangoni zaMichuano ya CAF ambazo Yanga walikatwa na CAFambazo TFF hawajawalipa Yanga.
3- Invoice za Udhamini wa timu ya Wanawake naMashindano ya Vijana. Yanga pia wamesititiza TFF wapige hesabu zao na wana machaguo mawili baada ya hapo kuhusu Fedha zao
1-Kuweka fedha zote ambazo Yanga wanawadai, inakadiriwa MILLION 426 za Kitanzania, kisha TFFwatume INVOICE za Madeni yao yote Jangwani kisha Yanga walipe madeni hayo.
2- Kama TFF waliwakata fedha zote ambazo wanadaiwa, Yanga wanataka kujulishwa kwa USHAHIDIWA RISITI kama ambavyo Sheria za Kodi za nchi zinavyotaka kisha baki yao waingiziwe kwenye account yao ila Makato yote yawe na RISITI.
KISHA Yanga Msimamo wao ni kuwa hakuna maongezi yoyote na kama kuna maongezi (Reconciliation) basi Yanga wapo tayari maongezi hayo yafanyike mbele ya TRA na Mamlaka za Usalama kuhusu MADENI ilikumbukumbu zikae sawa.
NB: hatuchezi
.......# b[OCTOBERTUNATICK]
View attachment 3364441
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ngoma ni ya moto[emoji91]hii imekaa utamu
yule msomali wa tifua lazima an'goke
Ni hatari mkuuTFF wanajitafutia balaa
Wacha tuwafukuze ofsini kwanza
Ni sahihi mkuu.... wabunge ni watu wazito ....Wabunge wako wanaomba plate namba private kwenye magari Yao mtaani muwatambue
Sahihi mkuu.... manara alitabiri anguko la kariaHuu ni upuuzi unaompa Manara kwamba jamaa alikuwa mbele ya muda kwamba kule wenye akili wawili
Kitaalam hiyo inaitwa msako Wa nyani juu pa moto chini pa moto mpaka uachie kitiYule karia na watu wake wataiacha ofisi kwa aibu badala ya kutumia hekima na busara,,inavyoonekana Kuna pesa walikuwa wanatumia bila kutoa risiti Wala vielelezo vya msingi,,hapo Kuna vichwa vitaenda na maji na TRA wakianza kufukua pamoja na takukuru mambo yatakuwa mabaya sana