Kwa mujibu wa TRA muhusika anatajiwa aende kuainisha.Mkuu RRONDO!
uko sawa kabisa, shida ni kwamba, jengo moja lenye mita zaidi ya moja, ni mita zote zitaingiziwa kodi ama ni utaratibu upi utafanyika ili hizo luku zihesabike zinalipia kodi jengo moja?
Eff off.Acha kushupaza shingo.UMEKURUPUKA.
Hili limeishatolewa ufafanuzi kama nyumba moja,kila chumba kina MITA yake,hapo mwenye nyumba inabidi atoe taarifa ni MITA ipi inalipia Kodi ya jengo,kama kiwanja kimoja kina nyumba zaidi ya moja,na kila nyumba ina MITA,MITA zote lazima zilipe Kodi ya jengo,hata kabla ya huu utaratibu kuja,ilikuwa hivyo,unalipa Kodi ya jengo kwa kila jengo lililopo kwenye kiwanja.Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini Tanesiko, kesho tarehe 20 wataanza kulipisha kodi za nyumba kwa mfumo wa luku
Kwanza ninahakika, hili limekuja baada ya serikali kukosa namna ya kuwabana wamiliki wa majengo ili kuyalipia
Na pia ninahakika, Sheria waliyokuwa wameitunga kwa ajili wamiliki wa majengo kulipia majengo yao, inaipa ugumu serikali kuwabana wamiliki hao
Umeeleza vema sana mkuuHili limeishatolewa ufafanuzi kama nyumba moja,kila chumba kina MITA yake,hapo mwenye nyumba inabidi atoe taarifa ni MITA ipi inalipia Kodi ya jengo,kama kiwanja kimoja kina nyumba zaidi ya moja,na kila nyumba ina MITA,MITA zote lazima zilipe Kodi ya jengo,hata kabla ya huu utaratibu kuja,ilikuwa hivyo,unalipa Kodi ya jengo kwa kila jengo lililopo kwenye kiwanja.
Nyumba ya kawaida Kodi yake ni 12000 kwa mwaka,unakatwa 1000 kila mwezi,ukikaa miezi miwili au zaidi bila kununua LuKu,siku ukinunua,unakatwa malipo yote ya miezi ambayo ukufanya manunuzi ya LuKu,hakuna wizi wapo,
Hiyo ndio tundu la kutokea. Mita nyingi sanq zitaondolewa kwenye mfumo kimagendo kwa kisingizio hicho. Na zinazotakiwa ziondolewe ndo hazitakndolewa.Mbona hilo wamelitolea ufafanuzi kuwa kama nyumba ina zaidi ya mita moja ya umeme, mwenye nyumba anatakiwa achague mita moja , aende tanesco akatoe taarifa kuwa hiyo ndio itakayokuwa inakatwa kodi ya majengo.
Magufuli aliwaharibu akawaita wanyonge, sasa hawataki kuchangia walitegemea. Waporwe wale wale waliokuwa wakiporwa na wao washangilieWabongo walalamishi sana ndio maana viongozi huwa wanapuuza malalamiko yoyote, 12,000 kwa mwaka mtu mwenye nyumba anaona hio ni kodi kubwa?!!! Mimi nitailipa na mpangaji wangu nitamlipia yote.
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na shirika la umeme nchini Tanesiko, kesho tarehe 20 wataanza kulipisha kodi za nyumba kwa mfumo wa luku
Kwanza ninahakika, hili limekuja baada ya serikali kukosa namna ya kuwabana wamiliki wa majengo ili kuyalipia
Kwahiyo unataka kutuambia kwamba kibao kimetugeukia au[emoji23][emoji23]Magufuli aliwaharibu akawaita wanyonge, sasa hawataki kuchangia walitegemea. Waporwe wale wale waliokuwa wakiporwa na wao washangilie
Aisee!Magufuli aliwaharibu akawaita wanyonge, sasa hawataki kuchangia walitegemea. Waporwe wale wale waliokuwa wakiporwa na wao washangilie
Ndugu yangu inawezekana wewe una hali nzuri kimaisha,ndio maana unaweza hata kumlipia mpangaji wako.Hongera kwa hilo.Wabongo walalamishi sana ndio maana viongozi huwa wanapuuza malalamiko yoyote, 12,000 kwa mwaka mtu mwenye nyumba anaona hio ni kodi kubwa?!!! Mimi nitailipa na mpangaji wangu nitamlipia yote.
Ni ajabu mtu aweze kujenga nyumba,alipie umeme lakini ashindwe kulipa 1,000/- kwa mwezi. Nashukuru Mungu sishindwi kulipa 1,000/- kwa mwezi. Na siwezi kumkosea Mungu shukrani niwe mnafiki kuwafurahisha watu kama nyinyi niseme kuwa 1,000/- ni nyingi kwa mtu mwenye nyumba.Ndugu yangu inawezekana wewe una hali nzuri kimaisha,ndio maana unaweza hata kumlipia mpangaji wako.Hongera kwa hilo.
Nafikiri ulikusudia kusema 1,000 sio kubwa kwa mtu mwenye nyumba.Ni ajabu mtu aweze kujenga nyumba,alipie umeme lakini ashindwe kulipa 1,000/- kwa mwezi. Nashukuru Mungu sishindwi kulipa 1,000/- kwa mwezi. Na siwezi kumkosea Mungu shukrani niwe mnafiki kuwafurahisha watu kama nyinyi niseme kuwa 1,000/- ni nyingi kwa mtu mwenye nyumba.
Ndio tujue kama ulikubali Unyonge ndio kubaku mnyonge mileleKwahyo unataka kutuambia kwamba kibao kimetugeukia au[emoji23][emoji23]
Mtafanya reconciliation wakati wa kulipana pango. Kwanza sheria inataka umkate 10% withholding tax kwenye pango.Aisee!
Kwa hiyo najengo yalipiwe na wapangaji wenye nyumba waendelee kula maisha siyo
Hahahaa!Mtafanya reconciliation wakati wa kulipana pango. Kwanza sheria inataka umkate 10% withholding tax kwenye pango.
Sawa, Hongera Sana.Ni ajabu mtu aweze kujenga nyumba,alipie umeme lakini ashindwe kulipa 1,000/- kwa mwezi. Nashukuru Mungu sishindwi kulipa 1,000/- kwa mwezi. Na siwezi kumkosea Mungu shukrani niwe mnafiki kuwafurahisha watu kama nyinyi niseme kuwa 1,000/- ni nyingi kwa mtu mwenye nyumba.
Sasa hamna haja ya kulalamikaAisee, ujue zimerahisisha sana Kibiashara, wale wafanya biashara wanajua faida yake, wewe kaa kimya mkuu!