TRA na TANESCO wanajua kwamba Nyumba ni chache kuliko idadi ya mita za Luku?

Mtoa mada ni kilaza na hajafatilia hizo kodi, alichojua yy ni kuamka na kupost ushuzi. Yaan wewe mpumbavu ujue kuwa kuwa kuna mita nyingi za Luku alafu watu wanaodrive nchi wasijue?
Mkuu, ungelimaza kwanza kufanywa...halafu ndio ukasoma na kisha ukachangi, sikulaumu kwa sababu umekali...a
 
Hayo yanazungumzika, la muhimu TULIPE KODI. ACHENI KULALAMIKA.

Wakati wamiliki wa nyumba walipokuwa wanakwepa kulpa kodi za nyumba zao mlikaa kimya, hata sikuwasikia mkiwapigia kelele hapa JF. Leo ujanja hawana ndio mnapiga debe mpaka chuma kipasuke. Ujumba makini TULIPE KODI ILI YALE MADARASA YA UDONGO MNAYOYAONYESHA HAPA WAKATI WA UCHAGUZI YAKAJENGWE. TULIPE KODI, KODI, KODI.............
 
Hivi kwa nini huwa mnapenda kukwepa hoja? umeona nani anakataa kulipa kodi? swali ni kwamba, nyumba zingine zina mita namba zaidi ya moja, Je, kunautaratibu upi wa kufanya ili zote hizo zitumike kulipia nyumba ileile moja?

Acha drama umekuwa sasa!
 
Mwenye nyumba akaripoti TANESCO ni mita ipi anataka ikatwe buku moja kwa mwezi.

Njia nyingine akalipe 12000 kwa mpigo, hakuna mita itakatwa hata senti tano. Nafikiri umenipata.

Tulipeni KODO, KODI, KODI kwa faida ya afya zetu na elimu za watoto wetu. Mwanachi lipa KODI, KODI, KODI....
 
Hivi kwa nini huwa mnapenda kukwepa hoja? umeona nani anakataa kulipa kodi? swali ni kwamba, nyumba zingine zina mita namba zaidi ya moja, Je, kunautaratibu upi wa kufanya ili zote hizo zitumike kulipia nyumba ileile moja?

Acha drama umekuwa sasa!
Wewe fala, kabla ya kukurupukia hapa ungeuliza kwanza sio unakuja na hoja as if unajua lolote.
We unadhani watu hawajui hizo mita? Ulivyoambiwa mfike ofisi za tra kuleta taarifa za hizo mita ulikuwa unapakatwa?
 
Anaye kataa kulipa ni nani mkuu?
Unabishana na mtu anayeishi kwa hawara wa dada yake? Hajawahi kulipa bili ya umeme/luku, maji, wala hata hajawahi kulipia chumba.
 
Wewe fala, kabla ya kukurupukia hapa ungeuliza kwanza sio unakuja na hoja as if unajua lolote.
We unadhani watu hawajui hizo mita? Ulivyoambiwa mfike ofisi za tra kuleta taarifa za hizo mita ulikuwa unapakatwa?
Adabu yako ni ndogo saa, na umri wako ulivyokutupa mkono, hakuna wa kukufunda tena kuheshimu watu, vinginevyo wewe mwenyewe uamue kubadirika, la sivyo, utaendelea kuwa wa hovyo hivyohivyo, alo kwambia kila mtu unaweza kumfokea ni nani?
 
Kwa kifupi sana, wamefikiri nje ya uwezo wao wa kufikiri, otherwise DNA zao sio watz, hizi ni elements za nchi jirani kabisaa bila shaka.
 
Nyumba ikiwa na mita zaidi ya tano,Saba au kumi hiyo Ni nyumba ya biashara anastahili kulipa Kama jengo la biashara na pia kodi ya mapato. Itafika siku hao wataambiwa walipe Kodi ya mapato na jengo.

Bora wakae kimya.
Ndiyo kinachokuja
 
Unachaganya madesa mfanyabiashara anacholipa TRA sio Kodi ya majengo ile inaitwa rental fees (ada ya ukodishaji) ndo maana uwa lazima uende na mkataba wa Kodi ya chumba ulichopangishwa hii kodi anaelipa ni wewe mpangaji na mwenye nyumba mnagawana kulipa. Japo kwa wenye nyumba imekuwa changamoto so Mara nyingi mpangaji anaishia kulipa yeye mwenye Ila tambua sio Kodi ya jengo ulilipia
 
Hivi na Zanzibar huu utitiri wa kodi upo?
 
Mimi ndiyo mmiliki wa majengo ninayotumia kufanya biashara na ninalipa kodi ya majengo kila mwaka na risiti ninazo za miaka kadhaa...... Unaongelea mikataba na kupangishana tena?.😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…