K Kinjeketile JF-Expert Member Joined Dec 24, 2013 Posts 999 Reaction score 1,683 Sep 23, 2020 #2 Quinine said: View attachment 1577911 Click to expand... Madaraka matamu jamani,yaani CCM wanatumia taasisi zote za Serikali ili kubaki madarakani. Nadhani ili press release ya msajili itawahusu na hawa jamaa.
Quinine said: View attachment 1577911 Click to expand... Madaraka matamu jamani,yaani CCM wanatumia taasisi zote za Serikali ili kubaki madarakani. Nadhani ili press release ya msajili itawahusu na hawa jamaa.
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 24,893 Reaction score 47,768 Sep 23, 2020 #3 Quinine said: View attachment 1577911 Click to expand... Rejea kauli ya h. Mpolepole kuwa ccm bila faulo haitoboi
Quinine said: View attachment 1577911 Click to expand... Rejea kauli ya h. Mpolepole kuwa ccm bila faulo haitoboi
ikipendaroho JF-Expert Member Joined Jul 26, 2015 Posts 3,903 Reaction score 3,856 Sep 23, 2020 #4 Hawa wote ni wa kuwafunga jela tu iwapo watakutikana na hatia ya kutumia madaraka yao vibaya katika ofisi za uma. Hamna kusamehe ili iwe funzo kwa wengine.
Hawa wote ni wa kuwafunga jela tu iwapo watakutikana na hatia ya kutumia madaraka yao vibaya katika ofisi za uma. Hamna kusamehe ili iwe funzo kwa wengine.
W wa hapahapa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2012 Posts 7,455 Reaction score 4,395 Sep 23, 2020 #5 Kinjeketile said: Madaraka matamu jamani,yaani CCM wanatumia taasisi zote za Serikali ili kubaki madarakani. Nadhani ili press release ya msajili itawahusu na hawa jamaa. Click to expand... Hilo bango limevunja kanuni na taratibu za uchaguzi...
Kinjeketile said: Madaraka matamu jamani,yaani CCM wanatumia taasisi zote za Serikali ili kubaki madarakani. Nadhani ili press release ya msajili itawahusu na hawa jamaa. Click to expand... Hilo bango limevunja kanuni na taratibu za uchaguzi...
Course Coordinator JF-Expert Member Joined Jul 27, 2019 Posts 1,742 Reaction score 3,224 Sep 23, 2020 #6 Quinine said: View attachment 1577911 Click to expand... Mkuu ukiwa CCM kila kit kwako ni bure. Itoshe kusema hutosumbuliwa refer kesi ya mbunge wa kishapu na Deo Mwanyika.
Quinine said: View attachment 1577911 Click to expand... Mkuu ukiwa CCM kila kit kwako ni bure. Itoshe kusema hutosumbuliwa refer kesi ya mbunge wa kishapu na Deo Mwanyika.