Mnwele
Senior Member
- Feb 4, 2010
- 162
- 100
Wakati TRA ilipozindua mfumo mpya wa ukadiriaji magari yaliyotumika yanayoingizwa kutoka nje, kulikuwa na malalamiko mengi sana.
Baadhi ya hoja zilizoletwa ni kwamba serikali imeamuru TRA wafanye liwalo na liwe kupata pesa zaidi kwa ajili ya matumizi yake. Hii ilitoa picha kwamba labda serikali haina pesa za akiba. Niliamini nusu nusu!
Kwa vile nilikuwa nimeagiza gari na ilikuwa njiani kuja, nilijipeleka mwenyewe pale Sabasaba kwenye banda lao.
Ofisa aliyenihudumia alinielewesha namna ukadiriaji mpya ulivyo, na kwamba this time around TRA hawahitaji mtu ( mkadiriaji) maana system iko automated. Tulifanya hesabu inayoendana na gari yangu ambayo ni DUET 2002, cc 1000; na kuonyesha nitatakiwa kulipa TZ 1.9 ( Kodi tu).
Leo, ajabu na kweli, wakati gari ikiwa inakaribia kutinga Dar, TRA wamekuja na story mpya.
Eti kwa sabau inaonekana nitalipa kidogo, wameamua kurudisha mfumo ule wa Zamani nakutakiwa kulipa 2.4m(Kodi tu)
Wametumia CIF na kuanza kufanya calculations.
NImeuumia na nimegundua kweli serikali hii sio ya wanyonge,