welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Yaan wewe acha ni shidahii nchi ukishaonesha una hela unatoa sehem basi kila mtu atataka kula hadi watendaji wa mitaa na wenyekiti nao wanataka
Uko sw mwenye flame au nyumba ya biashara lafanya biashara anapaswa kulipa Kodi Kama wafanyabiara wengine wanalipa kodiHaiwekani Mimi nimepanga frem labda laki moja kwa mwezi nakuja kutaka tin namba mnaniambia niletee mkataba wa pango , nikasheleta mnaniambia nilipe asilimia kumi ya Kodi niliyolipa kwa mwaka alafu Mimi nikamdai mwenye fremu,
Kwanini TRA msiweke utaratibu wa wenye fremu kulipa Kodi wenywewe inaumiza sana hasa sisi wenye mitaji midogo na ndiyo tunaanza biashara.
Kwa nini mmekabe aliyepangishwa badala ya mmiliki, hivi unategemea mmiliki atakubali kurudisha hiyo pesa ?Sio kila mmoja wetu anaweza kuzungumzia kodi kisa tu amepata TECNO yake Phantom au ITEL au INFINIX.
Kodi ya Zuio inalipwa na mmiliki halisi wa JENGO/FRAME/STORE yako.
Kwakuwa umelipa pango kwa mwenye Frame, hapa maana yake ni kwamba mwenye Frams ameingiza kipato hivyo ana wajibu wa kulipa kodi. So kutokana na urahisi wa Mfanyabiashara kwenda TRA basi sheria ikamtaka kuzuia 10% ya Pango aliyopaswa kumlipa mwenye frame na kuiwasilisha TRA kwa niaba ya MMILIKI.
Kama frame ni yako, basi utapeleka uthibitisho wa umiliki huo ikiwa sambamba na hati ya jengo hilo au kama imesajiliwa kwenye mfumo wa majengo wa TRA basi unasema na hukatwi kodi hiyo.
Ndugu zangu, kama hamjui kitu ni bora kumtafuta jirani yako akupe elimu sahihi, au anzisha uzi ambao utakufanya ueleweshwe na sio unafungua uzi as if unauelewa na unachokisema kumbe ni BOGAZ SIMAMA TUOMBE.
Kata kwenye PANGO usichoelewa nini? Kama pango kwa mwezi ni 1 Milion basi 100k unapelekea TRA na 900k unampa mwenye fremu hapo shida hiyo ndio maana ya WITHHOLDING TAXKwa nini mmekabe aliyepangishwa badala ya mmiliki, hivi unategemea mmiliki atakubali kurudisha hiyo pesa ?
Ndiyo ushangae Sasa alafu, wewe umejichanga umeazisha kibiashara çhako ukifata TIN unalazimishwa kulipa asilimia kumi ya Kodi uliyolipa,Hivi kama fremu ni Mali yako wewe mwenyewe mfanyabiashara na hauilipii kodi inakuwaje?
Wewe ndiyo bogasi, kwann wenywewe Tra wasiweke mfumo wakudai Kodi kwa mwenye frem wambane MFANYABIASHARA,Sio kila mmoja wetu anaweza kuzungumzia kodi kisa tu amepata TECNO yake Phantom au ITEL au INFINIX.
Kodi ya Zuio inalipwa na mmiliki halisi wa JENGO/FRAME/STORE yako.
Kwakuwa umelipa pango kwa mwenye Frame, hapa maana yake ni kwamba mwenye Frams ameingiza kipato hivyo ana wajibu wa kulipa kodi. So kutokana na urahisi wa Mfanyabiashara kwenda TRA basi sheria ikamtaka kuzuia 10% ya Pango aliyopaswa kumlipa mwenye frame na kuiwasilisha TRA kwa niaba ya MMILIKI.
Kama frame ni yako, basi utapeleka uthibitisho wa umiliki huo ikiwa sambamba na hati ya jengo hilo au kama imesajiliwa kwenye mfumo wa majengo wa TRA basi unasema na hukatwi kodi hiyo.
Ndugu zangu, kama hamjui kitu ni bora kumtafuta jirani yako akupe elimu sahihi, au anzisha uzi ambao utakufanya ueleweshwe na sio unafungua uzi as if unauelewa na unachokisema kumbe ni BOGAZ SIMAMA TUOMBE.
Una fikiria ni rahis hivyo, wenye fremu hawakuli hiyo kitu kwa kigezo kama Kuna Kodi hiyo TRA iwafate wenywewe ni uvivu wa kufikiri tu kumjazia mtu mmoja kodi!Kata kwenye PANGO usichoelewa nini? Kama pango kwa mwezi ni 1 Milion basi 100k unapelekea TRA na 900k unampa mwenye fremu hapo shida hiyo ndio maana ya WITHHOLDING TAX
Hawawezi kumfuata mwenye nyumba maana kodi ya majengo / makazi wamehamishia kwenye umeme[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nchi hii hatariHaiwekani mimi nimepanga frem labda laki moja kwa mwezi, nakuja kutaka tin namba mnaniambia niletee mkataba wa pango, nikasheleta mnaniambia nilipe 10% ya Kodi niliyolipa kwa mwaka halafu mimi nikamdai mwenye fremu.
Kwanini TRA msiweke utaratibu wa wenye fremu kulipa Kodi wenywewe? Inaumiza sana hasa sisi wenye mitaji midogo na ndiyo tunaanza biashara.
Sio kila mmoja wetu anaweza kuzungumzia kodi kisa tu amepata TECNO yake Phantom au ITEL au INFINIX.
Kodi ya Zuio inalipwa na mmiliki halisi wa JENGO/FRAME/STORE yako.
Kwakuwa umelipa pango kwa mwenye Frame, hapa maana yake ni kwamba mwenye Frams ameingiza kipato hivyo ana wajibu wa kulipa kodi. So kutokana na urahisi wa Mfanyabiashara kwenda TRA basi sheria ikamtaka kuzuia 10% ya Pango aliyopaswa kumlipa mwenye frame na kuiwasilisha TRA kwa niaba ya MMILIKI.
Kama frame ni yako, basi utapeleka uthibitisho wa umiliki huo ikiwa sambamba na hati ya jengo hilo au kama imesajiliwa kwenye mfumo wa majengo wa TRA basi unasema na hukatwi kodi hiyo.
Ndugu zangu, kama hamjui kitu ni bora kumtafuta jirani yako akupe elimu sahihi, au anzisha uzi ambao utakufanya ueleweshwe na sio unafungua uzi as if unauelewa na unachokisema kumbe ni BOGAZ SIMAMA TUOMBE.
Wewe ni mjinga ila haujijui, kinacholalamikiwa hapa sio uhalali wa hoyo kodi bali ni mbinu za ukusanyaji wake. Badala ya kuhangaika na mfanya biashara ambaye kapangishwa kwanini TRA isitengeneze mfumo wa kuikusanya hiyo kodi kwa mpangishaji?Sio kila mmoja wetu anaweza kuzungumzia kodi kisa tu amepata TECNO yake Phantom au ITEL au INFINIX.
Kodi ya Zuio inalipwa na mmiliki halisi wa JENGO/FRAME/STORE yako.
Kwakuwa umelipa pango kwa mwenye Frame, hapa maana yake ni kwamba mwenye Frams ameingiza kipato hivyo ana wajibu wa kulipa kodi. So kutokana na urahisi wa Mfanyabiashara kwenda TRA basi sheria ikamtaka kuzuia 10% ya Pango aliyopaswa kumlipa mwenye frame na kuiwasilisha TRA kwa niaba ya MMILIKI.
Kama frame ni yako, basi utapeleka uthibitisho wa umiliki huo ikiwa sambamba na hati ya jengo hilo au kama imesajiliwa kwenye mfumo wa majengo wa TRA basi unasema na hukatwi kodi hiyo.
Ndugu zangu, kama hamjui kitu ni bora kumtafuta jirani yako akupe elimu sahihi, au anzisha uzi ambao utakufanya ueleweshwe na sio unafungua uzi as if unauelewa na unachokisema kumbe ni BOGAZ SIMAMA TUOMBE.
Anayemjua mmiliki ni TRA au MFANYABIASHARA?Wewe ni mjinga ila haujijui, kinacholalamikiwa hapa sio uhalali wa hoyo kodi bali ni mbinu za ukusanyaji wake. Badala ya kuhangaika na mfanya biashara ambaye kapangishwa kwanini TRA isitengeneze mfumo wa kuikusanya hiyo kodi kwa mpangishaji?
FactAnayemjua mmiliki ni TRA au MFANYABIASHARA?
Kwakuwa mfanyabiashara ana uhusiano wa moja kwa moja na Mmiliki wa FRAME hivyo ni rahisi kukusanya kodi hiyo kupitia kwa Mfanyabiashara.
Mfano halisi ni kama PAYE, unadhani SERIKALI haijui watu wake, si ungekuwa unapata mshahara then ww mwenyewe unaenda TRA kulipa kodi yako. But kutokana na urahisi kwa anayelipa Mshahara anaweza kuikata juu kwa juu ndio sheria inamtaka aikate kabisa.
So hii ni sawa na PAYE tu. Kwamba Mfanyabiashara atalazimika kumkata MMILIKI wa Frame kwakuwa yy ndio ana nafasi ya kuikata hiyo pesa na kuipelekea TRA.
Hakuna fact hapo, wala haina huo uhusiano na PAYEFact