TRA system down for carriage cost, this is a deal

Malunde-Malundi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
1,288
Reaction score
131
Tpa carries the loads for 7 days free,tra they ensure system is down for such period that tpa eventually will charge and this has been confirmed as a deal between tpa and tra.

Why should a car remain with tpa while actually had paid for taxes?

Tanzaniasio kama uijuavyo hata mwakyembe ana deal na siasa badala ya kujenga process ambazo ziko efficient, poor mwakyembe you dont know yet what is going, citizen and non citizen are avoiding using this very bureacratic port ever and go for more efficient one's
 
Sijapata kabisa lengo na madhumuni ya thread hii. Naona Mwakyembe amewashika pabaya mno
 
Tpa carries the loads for 7 days free,tra they ensure system is down for such period that tpa eventually will charge and this has been confirmed as a deal between tpa and tra. Why should a car remain with tpa while actually had paid for taxes?
tanzania sio kama uijuavyo hata mwakyembe ana deal na siasa badala ya kujenga process ambazo ziko efficient, poor mwakyembe you dont know yet what is going, citizen and non citizen are avoiding using this very bureacratic port ever and go for more efficient one's

Movie limeanza ngoja niangalie linavyoisha
 
Kuna wanyarwanda na warundi wana mizigo yao pale wiki kadhaa sasa imefika pale kila sku system is down, na kumbe ni deal, sina maslahi na mwakyembe wala uongozi tpa ila ukitaka kujua fika pale mchicha yaani yard ya tpa parion karibu na uwanja wa taifa, kuna gari hazitolewi kumbe lengo ni charge za tpa,kunauzembe tpa na tra kte kote inavyoonekana hili ni deal la tra na tpa, maana kila mamlaka haingiliani so tra wakikuchelewesha kutoa mzigo tpa haikutambui, kama huelewi nenda bandarini au parion yaani bandarilavu ni aibu tupu, tra wana release mzigo for ery lobg time ili charge zifikiwe wanakula pamoja nia aibu narudia bandari yetu itakimbiwa na watoa mizigo maana hata kizungu ni tatzo ndio maana naeleza kiswahili nieleweke
 
hujui unachoongea wewe,

Mkuu unachokiongea kina ukweli kiasi fulani, kinachofanyika ni system ya Internet kwenye hizi ICDs kukatwa na kurudishwa kwa makusudi na hawa owners owners lengo likiwa ni mzigo uingie storage ili wao wapate kipato cha ziada. Hili limeshalalamikiwa sana lakini TRA kwa kuwa wao wanapata kodi yao wamekaa kimya bila kujali kwamba wanaoumia ni wateja na sifa ya nchi.
 
Back
Top Bottom