Kwamba jamaa hakujua anajikaanga na mAfuta you mwenyewe[emoji848]Sasa Diamond unavyoshare ktk page zako . Ticket za million 50 $old out ..million 10 $old out.. M5....M3..
What d u expect bro![emoji20]..
Hata ukihamishia Rwanda au Kenya as long as una uraia wa Tanzania utalipa Kodi ya Tanzania kulingana na sheria ya Kodi inayohusiana na Residence... Labda kama atakana uraia wa Tanzania na kuomba uraia wa KenyaDiamond anapanga kuhamishia kazi zake Rwanda au Kenya tuone kama itakuaje
Diamond aliipigia kampeni CCM 2020, wacha ile kwake mama yake.
Labda mwenda zake katoa maelekezo maana hayo walisema anatoa yeye na sasa hayupo nani tena kayatoa?Inatakiwa mtu aitwe haojiwe siyo unafunguka account hata mhusika hajui kwanini account yake imefungwa.
Hii nchi ngumu sana kuishi. Fuatane sheria
Sheria inaipa TRA mamlaka ya kufungia akaunti ya mtu yoyote anayedaiwa mapato ikiwa atashindwa kulipa mapato anayodaiwa kwa wakati. Suala hilo linaweza kufanywa na TRA wakati wowote ule.Inatakiwa mtu aitwe haojiwe siyo unafunguka account hata mhusika hajui kwanini account yake imefungwa.
Hii nchi ngumu sana kuishi. Fuatane sheria
Wasaidizi wake ni kina babu tale,mkubwa fela,salam hao ndyAsake wa Tandale anatakiwa kuajiri wataalam wa maswala ya kodi wamsaidie hizi kazi.
TRA waanavyopenda hela kwanini wasitambae nayeHuyo jamaa amezoea kuongeza sifuri nyingi mwisho acha TRA waruke nae
Magufuli alikuwa anatumia nguvu sana kudai kodi.Sasa mama Umeona ugumu wa kupata pesa,pamoja na kukopa?Muombe msamaha JPM.
Akalipe kodi
Nchi yaikuathirika- waulize YANGAAlihama manji na nchi haikuathirika yeye nani?
Alipe kodi na afuate utaratibu,TRA hawawezi muonea nasibu peke yake yeye nani