TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

TRA: Taarifa kuhusu madai ya Diamond Platnumz

Diamond anapanga kuhamishia kazi zake Rwanda au Kenya tuone kama itakuaje
Hata ukihamishia Rwanda au Kenya as long as una uraia wa Tanzania utalipa Kodi ya Tanzania kulingana na sheria ya Kodi inayohusiana na Residence... Labda kama atakana uraia wa Tanzania na kuomba uraia wa Kenya
 
Inatakiwa mtu aitwe haojiwe siyo unafunguka account hata mhusika hajui kwanini account yake imefungwa.
Hii nchi ngumu sana kuishi. Fuatane sheria
Labda mwenda zake katoa maelekezo maana hayo walisema anatoa yeye na sasa hayupo nani tena kayatoa?
Apumzike kwa amani maana kila neno mlisema ni yeye kasema.
 
Inatakiwa mtu aitwe haojiwe siyo unafunguka account hata mhusika hajui kwanini account yake imefungwa.
Hii nchi ngumu sana kuishi. Fuatane sheria
Sheria inaipa TRA mamlaka ya kufungia akaunti ya mtu yoyote anayedaiwa mapato ikiwa atashindwa kulipa mapato anayodaiwa kwa wakati. Suala hilo linaweza kufanywa na TRA wakati wowote ule.

Haihitaji (hakuna ulazima) TRA watoe taarifa yoyote kwa mhusika kabla ya kufanya hivyo. Kwanini? Mhusika (mdaiwa) akijua wazi akaunti yake inakwenda kufungiwa, mara moja atakwenda kuhamisha pesa zake.

Muulizeni Diamond alijuaje akaunti zake zimefungwa na TRA?
 
Alihama manji na nchi haikuathirika yeye nani?
Alipe kodi na afuate utaratibu,TRA hawawezi muonea nasibu peke yake yeye nani
Nchi yaikuathirika- waulize YANGA
 
Back
Top Bottom