www.rsm.global
Soma hiyo summary ya sheria husika (regulations).
Kwenye tax investigation/audit TRA inaweza involve third party i.e bank (kwa sababu uwezi fanya bank reconciliation bila ya up to date bank statement), supplier na watu wengine unaofanya nao business transaction to match receipts zako, etc with tax auditing.
Ni hivi ili sio jukwaa la elimu tuanze kufundishana auditing or taxation.
Lakini hadi kufikia hatua za kufunga account kuna serious fraud detection au kuchukua hela zako kwenye account ni kwa sababu umegoma kabisa kulipa.
Maelezo yote hayo yatakuwa kwenye sheria husika soma kwa mapana ni wakati gani wanaweza zuia account yako.
Kwetu kumekucha, hayo ya TFF sitogusia kwa sababu sio hoja ya mjadala.
👋