Duuuuu kwa wale wamama wanao beba Karanga za kukaanga na mahind ya kuchoma au juis na soda unatak walipe kodi? Mbona una roho ya kichawi sana ww?Mkurugenzi mkuu wa TRA, na Mkurugenzi wa TANROAD, ukisafiri toka Mbeya kuja Dar, au Mwanza kwenda Dar utakuta wafanya biashara wanauza vitunguu, nyanya, etc tena kwa bei kubwa sawa na ta kariakoo. Je huwa wanalipa kodi? Vipi kuhusu sheria za TANROAD zinaruhusu??
Acha roho mbaya hao hawatakiwi kulipa kodi kwa mujibu wa sheriaMkurugenzi mkuu wa TRA, na Mkurugenzi wa TANROAD, ukisafiri toka Mbeya kuja Dar, au Mwanza kwenda Dar utakuta wafanya biashara wanauza vitunguu, nyanya, etc tena kwa bei kubwa sawa na ta kariakoo. Je huwa wanalipa kodi? Vipi kuhusu sheria za TANROAD zinaruhusu??
Machinga wengi biashara zao zimezidi thamani ya Milioni 4 kwa mwakaUnaambiwa anaetakiwa kulipa kodi ni yule Mwenye mzunguko unaozidi 4 million kwa mwaka mazao yao ni ya msimu huo mzunguko wachuuzi hawaufikii...sema ukiwa na roho mbaya hata wadudu na wanyama utatamani walipishwe kodi huko ni kukosa mbinu mbadala za sehemu sahihi za kulipisha watu kodi...Ujinga nao ni ugonjwa tuu
wale wanaouza vitunguu kwa visado na ndio bara barani au kuku utani huo,Machinga waliopo mjini wana mzunguko mkubwa tuu na pia inategemeana yupo mji gani na anauza nini sio kila machinga ana mzunguko huo,Machinga wengi biashara zao zimezidi thamani ya Milioni 4 kwa mwaka
Machinga wengi biashara zao zimezidi thamani ya Milioni 4 kwa mwaka