TRA, TANROAD wanaouza vitu pempezoni mwa barabara walipe kodi

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Mkurugenzi mkuu wa TRA, na Mkurugenzi wa TANROAD, ukisafiri toka Mbeya kuja Dar, au Mwanza kwenda Dar utakuta wafanya biashara wanauza vitunguu, nyanya, etc tena kwa bei kubwa sawa na kariakoo.

Je, huwa wanalipa kodi? Vipi kuhusu sheria za TANROAD zinaruhusu??
 
Mkurugenzi mkuu wa TRA, na Mkurugenzi wa TANROAD, ukisafiri toka Mbeya kuja Dar, au Mwanza kwenda Dar utakuta wafanya biashara wanauza vitunguu, nyanya, etc tena kwa bei kubwa sawa na ta kariakoo. Je huwa wanalipa kodi? Vipi kuhusu sheria za TANROAD zinaruhusu??
Duuuuu kwa wale wamama wanao beba Karanga za kukaanga na mahind ya kuchoma au juis na soda unatak walipe kodi? Mbona una roho ya kichawi sana ww?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkurugenzi mkuu wa TRA, na Mkurugenzi wa TANROAD, ukisafiri toka Mbeya kuja Dar, au Mwanza kwenda Dar utakuta wafanya biashara wanauza vitunguu, nyanya, etc tena kwa bei kubwa sawa na ta kariakoo. Je huwa wanalipa kodi? Vipi kuhusu sheria za TANROAD zinaruhusu??
Acha roho mbaya hao hawatakiwi kulipa kodi kwa mujibu wa sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaambiwa anaetakiwa kulipa kodi ni yule Mwenye mzunguko unaozidi 4 million kwa mwaka mazao yao ni ya msimu huo mzunguko wachuuzi hawaufikii...sema ukiwa na roho mbaya hata wadudu na wanyama utatamani walipishwe kodi huko ni kukosa mbinu mbadala za sehemu sahihi za kulipisha watu kodi...Ujinga nao ni ugonjwa tuu
 
Machinga wengi biashara zao zimezidi thamani ya Milioni 4 kwa mwaka
 
wale wanaouza vitunguu kwa visado na ndio bara barani au kuku utani huo,Machinga waliopo mjini wana mzunguko mkubwa tuu na pia inategemeana yupo mji gani na anauza nini sio kila machinga ana mzunguko huo,
 
Back
Top Bottom